Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
kilimo cha vitunguu sijawai lima kwa dripNa vp kuhusu kilimo cha vitunguu
Labda kwa haka moja unaweza kutumia gharama kiasi gain na uvunaji wake unakuaje unaweza vuna kiasi gani
Lakini Mimi sijawai kulima ata Mara moja ila napenda sana
Na pia kama unaweza kuwa na idea mahali gani pazur kwa kilimo iki
Hua ninalima matuta 6 yenye ulefu wa mita 28 kila moja tuta.kila tuta lina upana wa futi moja juu na mwinuko wa nusu futi au zaidi kutoka chini. Pia katika upana wa futi moja naweka miche miwili sambamba na kupitisha drip mbili kwa kila tuta toka mwanzo hadi mwisho wa tuta.Kwa square metre moja ulitumia maji kiasi gani tokea uoteshe nyanya hadi uanze uvunaji
Jamani dhumuni la hii kitu pia ni kujalibu kuona mtu anatengeneza kipato nje ya Ajira au kazi yake ya kawaida. Nina network ya maeneo Nina wataalam Nina wazo na ujuzi wa kusimamia wazo,ila tatizo ni moja tu huwezi utafanya jambo kubwa Ukiwa pekeyako au na ndugu zako. Na wazo langu ni kwenye kilimo kinacho weza kuingizia hata million hamsini hadi Mia mfano.kilimo cha mboga mboga kisicho tumia kemikali kwa hekari moja kinaweza kukupa milioni arobaini na kuendelea kwa msimu wa miezi sita tuu. Na uzuri wa kilimo hata Kama hauna ardhi inaweza kukodiwa kwa ukubwa wooote ule na kwa bei ndogo ya elfu 40 kwa hekariHabari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa tusivyo vijua, unataka tujiunge ili kufanya iyo kazi au ukitaka kikundi kilicho tayari ujiunge Karibuni Sana.
Yupo nitafute 0718799818Natafuta mtaalamu wa kilimo bustan namna ya kupata mazao mengi ktk ardhi 49 sq meter dsm
Ngoja tupate group ambalo hatawewe utaona urahisi wakeCjawahi mkuu
Na kwenye square metre moja unapanda mimea mingapiHua ninalima matuta 6 yenye ulefu wa mita 28 kila moja tuta.kila tuta lina upana wa futi moja juu na mwinuko wa nusu futi au zaidi kutoka chini. Pia katika upana wa futi moja naweka miche miwili sambamba na kupitisha drip mbili kwa kila tuta toka mwanzo hadi mwisho wa tuta.
Nimeweka tank la maji la lita 2000 ambalo msimu wa kukua nyanya(miezi mitatu) huwa namwagilia mara mbili kwa siku(kufungulia bomba kwenye tank msimu wa jua ili kumwagilia ) ikisha isha msimu wa kuota huwa namwagilia endapo ntaona udongo umekauka sabab maji yakizidi nyanya huanza pasuka lakini kwa maelezo ya mtaalam alisema niwe namwagilia mara moja kwa siku
Mbegu ya nyanya nnayotumia ni anna f1 inayokua kwa miezi 3 na kuvunwa miezi 6 jumla huchukua miezi 9 hadi kukauka
Niende kwenye jibu sasa
Endapo nkifuata utalatibu wa kitaalamu wa kumwagilia mara moja kila siku msimu wa mavuno
2000*2*90=litres 360000 msimu wa kuota miezi 3
2000*1*180=litres360000msimu wa kuvuna miezi 6
(litres*awamu za kumwagilia kwa siku*siku)=litres
Jumla inatumia 720000 litres hadi unamaliza kitaalamu
Lakini icho kiasi ni kikubwa sana hata mi sikufikisha kwani nlikua namwagilia pale tuu ntapoona udongo mkavu
JIBU
Nlilima matuta6 yenye urefu m 28
6*28=168metres urefu
Upana ulikua futi moja ambayo ni kama 0.3metres
0.3*168=50.4meter square jumla ya eneo lote nlilolima
720000/50.4=14284.7litres per square
Uki round up ni kama 14000
Hivyo nlitumia litres 14000 kwa mita moja ya mraba
NOTE(IKUMBUKWE KUWA)
nyanya nliolima inatumia maji mengi sana kwani huzaa kwa wingi kwa watalamu nadhani mnaijua
Nyanya hii hukaa miezi 9 sio kama zile nyingine zile za 3 months
Huu ni ushauri wa kitaalamu nliopewa ingawa hizo lita hata mi sku fikisha
Msimu nliofanya ni kiangazi
Nyanya nyingi ziliasiliwa na fungus waliotokana na wingi wa maji kwenye udongo na kutofikisha mieZi tisa ila zote zilivuka miezi 6
Natumaini umenielewa
mimea kama mi 6 hivi kwa makadilio. ingawa mi natumia matutaNa kwenye square metre moja unapanda mimea mingapi
Shukran kwa maelezo yako. Nafasi kati ya mimea miwili ni urefu ganimimea kama mi 6 hivi kwa makadilio. ingawa mi natumia matuta
Vipi kuhusu Mbegu ya nyanya ....Rio grande Safari....Je ni nzuri..?..Na inachukua muda gani..?...kudumu kwa mavuno..???Hua ninalima matuta 6 yenye ulefu wa mita 28 kila moja tuta.kila tuta lina upana wa futi moja juu na mwinuko wa nusu futi au zaidi kutoka chini. Pia katika upana wa futi moja naweka miche miwili sambamba na kupitisha drip mbili kwa kila tuta toka mwanzo hadi mwisho wa tuta.
Nimeweka tank la maji la lita 2000 ambalo msimu wa kukua nyanya(miezi mitatu) huwa namwagilia mara mbili kwa siku(kufungulia bomba kwenye tank msimu wa jua ili kumwagilia ) ikisha isha msimu wa kuota huwa namwagilia endapo ntaona udongo umekauka sabab maji yakizidi nyanya huanza pasuka lakini kwa maelezo ya mtaalam alisema niwe namwagilia mara moja kwa siku
Mbegu ya nyanya nnayotumia ni anna f1 inayokua kwa miezi 3 na kuvunwa miezi 6 jumla huchukua miezi 9 hadi kukauka
Niende kwenye jibu sasa
Endapo nkifuata utalatibu wa kitaalamu wa kumwagilia mara moja kila siku msimu wa mavuno
2000*2*90=litres 360000 msimu wa kuota miezi 3
2000*1*180=litres360000msimu wa kuvuna miezi 6
(litres*awamu za kumwagilia kwa siku*siku)=litres
Jumla inatumia 720000 litres hadi unamaliza kitaalamu
Lakini icho kiasi ni kikubwa sana hata mi sikufikisha kwani nlikua namwagilia pale tuu ntapoona udongo mkavu
JIBU
Nlilima matuta6 yenye urefu m 28
6*28=168metres urefu
Upana ulikua futi moja ambayo ni kama 0.3metres
0.3*168=50.4meter square jumla ya eneo lote nlilolima
720000/50.4=14284.7litres per square
Uki round up ni kama 14000
Hivyo nlitumia litres 14000 kwa mita moja ya mraba
NOTE(IKUMBUKWE KUWA)
nyanya nliolima inatumia maji mengi sana kwani huzaa kwa wingi kwa watalamu nadhani mnaijua
Nyanya hii hukaa miezi 9 sio kama zile nyingine zile za 3 months
Huu ni ushauri wa kitaalamu nliopewa ingawa hizo lita hata mi sku fikisha
Msimu nliofanya ni kiangazi
Nyanya nyingi ziliasiliwa na fungus waliotokana na wingi wa maji kwenye udongo na kutofikisha mieZi tisa ila zote zilivuka miezi 6
Natumaini umenielewa
mimi huwa nalima moja tuu anna f1Vipi kuhusu Mbegu ya nyanya ....Rio grande Safari....Je ni nzuri..?..Na inachukua muda gani..?...kudumu kwa mavuno..???
Mkuu nenda Balton katoe maelezo yako utapata ushauri wa kutosha.Nimeagiza mbegu za mapapai ya kisasa natagemea kuanza kulima hivi karibuni. nitaotesha miche kama 300 hivi naomba kujua kufunga hiyo drip system itagharimu kiasi gani. niko dsm