MDANGANYIKAJI
Member
- Jan 27, 2011
- 77
- 59
Kuongezeka uzito wa mwili imekuwa ni tatizo kubwa linalokabili jamii. Nimeonelea kuunda group whatsapp ambalo tutakuwa tunajadili na kupeana motivational na tips mbalimbali za kupungua. Na mm pia nitashare na nyinyi tips zilizonipunguza bila kutumia dawa.
Kwa watakaopenda kuungana na hili group waniinbox no zao, ili niadd
Kwa watakaopenda kuungana na hili group waniinbox no zao, ili niadd