BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
niliona msafara, V8 zikiwa mbele izi Alfadi zikiwa nyuma zina catch up na vyuma vya mbeleAlphard ni Noah
Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
Kiongozi Bora hata atembee kwa miguu ataheshimika TU, kwani tutamuheshimu Kwa kutatua KERO zetu na sio ujio wake kwetu wa kifahari, eg waziri wa mawasiliano apambane 1gb iuzwe 200tsh huyo kwetu ni Bora kuliko anaetutembelea Kwa helcopta huku 1gb=2000 ndio maana huko kulikotangulia viongozi wanatembea Hadi Kwa baiskeli still wanaheshimikaIt's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.
Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?
Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.
Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
Wewe unawaita viongozi..mtoa mada aanawaita watawala.Kiongozi Bora hata atembee kwa miguu ataheshimika TU, kwani tutamuheshimu Kwa kutatua KERO zetu na sio ujio wake kwetu wa kifahari, eg waziri wa mawasiliano apambane 1gb iuzwe 200tsh huyo kwetu ni Bora kuliko anaetutembelea Kwa helcopta huku 1gb=2000 ndio maana huko kulikotangulia viongozi wanatembea Hadi Kwa baiskeli still wanaheshimika
Na fortune vipi mkuuuIt's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.
Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?
Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.
Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
Tecno ni Alphard au Vnane??Unalinganisha Tecno na IPhone
Fortune Mnyama sana.Na fortune vipi mkuuu
Naona viongozi wangepunguza gharama waamie kwenye fortuneFortune Mnyama sana.
"Lazima uwepo utofauti Kati ya watawala na watawaliwa" Hii ni mentality ya kikoloni.It's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.
Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?
Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.
Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
Wapi duniani kuna usawa kati ya watawala na watawaliwa? Hizo nchi ambazo zinasifika kwa demokrasia ya utawala bora ndizo role model wa kuweka gap kati ya viongozi na wananchi kwa kuishi luxury life."Lazima uwepo utofauti Kati ya watawala na watawaliwa" Hii ni mentality ya kikoloni.
Sasa wewe Uwe kiongozi kijijini kwako, wewe ndio ukaishi, kwenye bangalow, nyumba Kali kama ikulu, umezungukwa na fensi ya umeme, watoto wako wanapanda school bus, unaowaongoza wanaishi mbavu za, mbwa,watoto wao wanaenda shule peku,Ila wazazi, wanalipa Kodi, inayokupa mshahara, Kodi ya nyumba, gari, na mafuta!
Kuna uzuri gani hapo zaidi ya uchawi!
Kwanini unaamini wananchi wanaoongozwa Bora wawe maskini, fukara, ila walipe Kodi ili viongozi wao waishi vzr kifahari!
Imeandikwa wapi kwamba lazima viongozi watumie V8! Don't get me wrong! Sina shida viongozi wakitumia magari ya kifahari, tatizo je uchumi wa nchi unaruhusu?
UK mawaziri wanatumia Vogue, Rangerovers, huwezi, kuona wananchi wanalalamika!
Bongo nchi ambayo hata kutengeneza bettry hatuwezi unataka serikali kila mwaka itenge bajeti kununilia V8 mpya!
Hatuwaonei wivu, uwepo uwiano, kwa sasa kwa vile bado ni tegemezi, tunaweza kununua cruzer 2,prados, au cruzer mkonga, hilux single cabin, sasa hata DC na RC anataka atumie V8 series ya 300 mpya, why!