Kiongozi haitajiki kusikilizwa eye anaitaji kutenda sisi tuoongozwa tutaona matokeo mbona yesu na muhamadi waliishi maisha ya kawaida na umaarufu wao unazidi kukua mpaka mwisho wa Dunia Wala hawakuwa na ufahariWapi duniani kuna usawa kati ya watawala na watawaliwa? Hizo nchi ambazo zinasifika kwa demokrasia ya utawala bora ndizo role model wa kuweka gap kati ya viongozi na wananchi kwa kuishi luxury life.
Katika uongozi ni lazima kiongozi awe vizuri financially ili aweze kupewa attention ya kusikilizwa na kuheshimiwa kama kiongozi ata appear too cheap itamuweka katika wakati mgumu kuwaongoza wananchi wake.