Wanaopewa madaraka bila kupanga kuyataka hawana agenda

Ndiyo maana anachezea katiba anavyotaka
 

Kwa hakika ni kweli kabisa kuwa ni mazezeta peke yao (wewe haumo) anayeweza kushindwa kuziona kazi hizi kubwa na za wazi zinazofanyika za kukwiba chaguzi na hasa udhulumati wa haki na uhuru wa watu .

Ndiyo maana ile miadi pendwa kama Alivyokuwa Bashir kuelekea ICC kwake pia inazidi kunukia.

Hukumsikia kwa nini ilikuwa ni muhimu mno kwa gari W-NJ kuwepo barabarani likipepea bendera rasmi kuliko hata W-UL?
 
Ndiyo maana anachezea katiba anavyotaka

Hata umuhimu wake hana haja nao. Waziwazi kasema yeye anajua 2+2=4 au 2+2=5-1.

Nyerere (rip) alisema asiyeheshimu katiba - hatufai!
 
Kaa hapo hapo wasubirie MATAGA na UVCCM wanakuja kukupa vidonge vyako

Mkuu nimewasubiria nadhani wametambua kuufyata nayo imo kwenye MM.

Wametulizana.
 
Mkuu kazi anazo fanya Magufuli na ukaribu wake kwa wananchi ni vitu viwili vyenye kumuweka juu sana kumlinganisha na Lissu.

Huyu ni kiongozi ambaye kasafiri sana kaenda South Africa na Ethiopia muda wote yupo na masuala ya wananchi.

Wa kushindana na Magu alikuwa ni Lowassa sio hawa wengine. Hawa wepesi sana.
 

Mkuu tuko busy kidogo - kama wazalendo muhimu kujihoji. Hatuko vizuri:

 
Kuwa vizuri au kutokuwa vizuri inategemea na mtu mwenyewe binafsi. Nchi zinaongozwa na watu sio malaika hivyo hazipungukiwi upungufu, USA na wao wanaongea kama wewe kwamba hatuko vizuri.

Russia nao wanaongea kama wewe hatuko vizuri, ndio dunia ilivyo. Labda ukishazikwa kaburini ndio utakuwa na haki ya kusema upo vizuri.
 

Kuwa vizuri au kutokuwa vizuri:


hakutegemei mtu na mtu. Huko kunategemea uzalendo.

Ikumbukwe si kila ajiitaye ati mzalendo kuwa ni kweli kwamba ni mzalendo.

Tafakari chukua hatua!
 
Huyu aliye ikulu ni mzalendo kuliko yule dalali wa wazungu anayeishi Belgium kwa sasa.

Huyu analolifanya linaonekana huko nje na faida zake ni za miaka mingi ijayo. Anajenga miundo mbinu yenye kuyagusa maisha ya kila mtu.

Amehakikisha madini yanakuwa na mchango kwenye uchumi mkuu amehakikisha mashirika yanapeleka gawio hazina na pesa inagusa maisha ya kila mtu.

Hao wengine wanaowasaidia wazungu kuiumiza Tanzania wapiga kura kwa makusudi kabisa tumewashughulikia vizuri sana na sasa wamebakia kuwa wabunge wa Twitter na Facebook. Hawana tena sauti wala mamlaka ya aina yoyote ile.
 

Wengine tunaona mzalendo ni huyo aliyeko nje. Tunaona wewe na wenzio kwa maslahi yenu binafsi mlikwiba uchaguzi. Mnajua hamkubaliki haya mengine ni utopolo tu.

Kama mnakubalika kwa nini msiridhie chaguzi huru, haki na zenye kuaminika?

Kama mnakubalika hadi kuzima mitandao? Kukandamiza wengine? Kuuwa wengine? Kujeruhi wengine? Nk nk?

Aibu kubwa kwenu!
 
Hizo ni hisia zako ambazo una haki kuwa nazo.

Mfumo unaelewa ni kwanini mitandao ikawa na matatizo kipindi cha uchaguzi, kulikuwa na dalali wa wazungu miongoni mwetu hivyo ililazimika kutumia akili za ziada.

Kwa ufanisi wa Magufuli hakukuwa na sababu yoyote ya wizi wa kura ila ulinzi wa kimfumo ilibidi uongezeke.

Nyuma ya Lissu kuna Amsterdam na nyuma yake kuna wengi wenye kuona kuwa maslahi yao yamedhibitiwa vilivyo.
 
Zangu hisia Ila zako. Akili za kuku kweli kweli.

Huyu mwingine tunasikia ni mhutu. Lisemwalo lipo.

Kweli manyani nyie kuona makundu yenu ni shughuli pevu.
 
Zangu hisia Ila zako. Akili za kuku kweli kweli.

Huyu mwingine tunasikia ni mhutu. Lisemwalo lipo.

Kweli manyani nyie kuona makundu yenu ni shughuli pevu.
Mnapoishiwa hoja mnaanzisha matusi wakati wakubwa kuwazidi umri tumeanza kuyatumia kabla hata Baba yako hajaanza kumtongoza Mama yako.

Huyo mhutu ni mpaka 2025 mtaishi na unyonge mpaka siku atakapoondoka.
 
Mnapoishiwa hoja mnaanzisha matusi wakati wakubwa kuwazidi umri tumeanza kuyatumia kabla hata Baba yako hajaanza kumtongoza Mama yako.

Huyo mhutu ni mpaka 2025 mtaishi na unyonge mpaka siku atakapoondoka.

Unaanza kujiaminisha kuwa umetukanwa? Mama yangu analetwa nini katika haya?

Mamburula kama wewe huwa hatuwahitaji mods kuwashugulikia. Kwa taarifa yako tunao hadi ma platinum member kwenye ignore lists zetu sembuse kinyangarika wewe?

Umeshindwa kulala, hoja huna unarukia mama za watu ili arukiwe mama yako uanze kuwalilia mods hali, kuwa umetukanwa?

You're very filthy, useless and poorly brought up!
 
Mkuu marais wa nchi ni wale wasiotegemewa ni wale wasiopoteza fedha na kupanga makundi ya mitandao kwa miaka mingi.

Afrika nzima inasumbuliwa na wanasiasa wenye kupenda makundi, wanajizungushia uzio wa walaji kwa maana ya ukaribu wao kwa mkuu wa nchi.

Ndio uhalisia wenye busara.
 
CCM majitu ya ajabu sana , Tena yanasukumiza mtu huku yakijua IQ yake ni 0.00000001 , Sasa yanajuta kuliko hata wapinzani yanaogopa kusema yatamkapwa .
 
Mfan
Mfano Tundu Lissu alikuwa na Ajenda gani au ni ile ya kutetea haki za mashoga na kuamdamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…