- Thread starter
- #41
Mfan
Mfano Tundu Lissu alikuwa na Ajenda gani au ni ile ya kutetea haki za mashoga na kuamdamana
Kama ndiyo umewasili leo tokea Mars, Lissu alikuwa akitetea mambo 3:
1. Haki
2. Uhuru
3. Maendeleo
Kila moja katika hayo matatu mtu anaweza kuandika kitabu kizima kisichopungua kurasa 1,000.
Inafahamika upeo wa kuelewa na kudadavua mambo hatuwezi kulingana. Ndiyo maana kuna aliyesema yeye anajua:
2+2=4 na 2+2=5-1 tu!