Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

Watu wengi wamekuwa watetezi wa madhehebu kiasi kwamba Mungu hana maana sana kwao. Wenye madhehebu yao wapo zao huko wakila kuku kwa mrija.. sisi tupo kwenye vumbi tukiparuana. Dini zote zimeungana na black pope ni bosi wa dini zote.
 
Kusikia watasikia, lakini hawataelewa, kutazama watatazama lakini hawataona. Wasije wakaelewa wakatubu nikawaponya.

Kazi ni ngumu ya kuwaelimisha lakini jua ya kwamba yafichikayo machoni imani huyaona. Ni watu wenye shingo ngumu, dhambi yao ni ya baba yao majivuno, hamna unyenyekevu ndani yao hata kidogo.

Shida sio kuungama, lengo lao kusiwe na mwadhimisha ekaristi, ili baba yao aabudiwe kwenye madhabahu
 
Watu wengi wamekuwa watetezi wa madhehebu kiasi kwamba Mungu hana maana sana kwao. Wenye madhehebu yao wapo zao huko wakila kuku kwa mrija.. sisi tupo kwenye vumbi tukiparuana. Dini zote zimeungana na black pope ni bosi wa dini zote.
Umeelewa nilichoandika au umewaruka kama ngedere pori ..???

Tunamalizana na Waislam kisha tutahamia kwa ndugu zao Wasabato tukimchambua kinagaubaga nabii wao na muanzilishi wa SDA Ellen Gould White
 

Mshukuruni sana kwa kusomeshwa na Ellen White kwa kiwango cha uelewa kama huu.Unasema ubatizo hauondoi dhambi isipokuwa damu ya Yesu.Yohane Mbatizaji alipokuwa anawaondolea watu dhambi alikuwa anatumia damu ipi maana wakati huo damu ya Yesu ilikuwa haijamwagika bado? Au tuseme Yohana Mbatizaji alifika baada ya Yesu kuwa ameshakufa na kukufuka?
 

Mshukuruni sana kwa kusomeshwa na Ellen White kwa kiwango cha uelewa kama huu.Unasema ubatizo hauondoi dhambi isipokuwa damu ya Yesu.Yohane Mbatizaji alipokuwa anawaondolea watu dhambi alikuwa anatumia damu ipi maana wakati huo damu ya Yesu ilikuwa haijamwagika bado? Au tuseme Yohana Mbatizaji alifika baada ya Yesu kuwa ameshakufa na kukufuka?
 

Mshukuruni sana kwa kusomeshwa na Ellen White kwa kiwango cha uelewa kama huu.Unasema ubatizo hauondoi dhambi isipokuwa damu ya Yesu.Yohane Mbatizaji alipokuwa anawaondolea watu dhambi alikuwa anatumia damu ipi maana wakati huo damu ya Yesu ilikuwa haijamwagika bado? Au tuseme Yohana Mbatizaji alifika baada ya Yesu kuwa ameshakufa na kukufuka?
 
Kuzikwa utu wa kale unaelewaje? Acha kukariri maneno. Nikikujibu maana yake ni kuzika dhambi hakuna maana nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama damu ilisafisha yote Yesu wakati anarudi kwa baba yake alikuwa na ulazima gani wa kuwapa mitume mamlaka ya kusamehe dhambi na asiwaambie watu wengine kwenye mikutano mbalimbali wakiwa na dhambi wamuite tu wamesamehewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa Katoliki halikuanza kushambuliwa leo mkuu lilianza kushambuliwa na Dola ya Kirumi karne ya Kwanza. Kama Yesu alivyokuja kuwaita wenye dhambi basi anajua ndani ya Kanisa kuna wenye dhambi na wema na polepole wakiwa katika njia za dunia wanapokea huruma yake. Kuna mapadre wema na wenye dhambi kama binadamu wengine, kuna waumini wema na wadhambi na hili ndilo Kanisa Katoliki ili Yesu aliye kichwa cha Kanisa na sisi sehemu ya mwili atusafishe.

Yesu alimuambie Peter aliyemkana achunge kondoo wake hakwenda kuwafuata malaika walio wasafi mbinguni wachunge kondoo wake. Na wale wadhaniao wokovu ni wa mtu mmoja mmoja wawe makini na roho zao kwani Yesu alikuja kuwaokoa wanadamu na angekuwa anadeal na mtu mmoja mmoja tungesema alikuwa anabagua.

Kama unadhani utaenda mbinguni kwa nguvu zako mwenyewe endelea. Yesu alivyoita mitume na kuwapa mamlaka ya kuongoza hakuwa taahira asiyejua la kufanya. Ingekuwa hataki Kanisa angempa kila mmoja mamlaka ya kujiongoza bila kuwasikiliza mitume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichoelewa ni usiku wa giza. Umeorodhesha usiyoyaelewa ukidhani umeelewa. Kama unataka uelezwe uliza ujibiwe na ufanye uchunguzi kwa kusoma mafundisho Katoliki kuliko kukurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua chimbuko la neno Padre? Hii ni tafsiri tu ya neno Priest, Kuhani,Sacerdode na limetumika kuanzia Agano la Kale kwa mfano Kuhani Melkizedeki aliyetoa sadaka ya mkate na divai kwa Abrahamu.

Little knowledge is very dangerous my brother be careful.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Baada ya kusoma kwa sehemu kubwa historia ya uprotestanti, jambo moja nimelibaini.Elimu na historia sio vitu ambavyo wenzetu wanavizingatia kwa namna ya pekee katika kuyasoma maandiko Matakatifu.Lauti wangalifanya hivyo wasingaliishi katika kujipotosha namna hii.


Kwa mfano anatumia reasoning kwamba aonyeshwe ni wapi kumeandikwa kwamba Padre anaweza kuondoa dhambi! Yaani, anataka aone neno kwa neno "kaungame dhambi zako kwa padre"! Wamepewa nukuu kibao za Mitume na manabii kupewa uwezo wa kuondoa dhambi kabla na baada ya Kristu lakini bado hawayaoni hayo maandiko bali wanataka waone kabisa neno Padre! Katika muktadha wa namna huyo unajiuliza hivi mtu wa namna hii anaelewa vizuri lugha au amekariri vitu vichwani.

Inatia huruma kukuta eti watu wa namna hiyo nao unajikuta wanajigamba kwamba wanao wana-teolojia.Utumbo mtupu.Hivi kinachotangulia katika kuita jina lolote ni kazi au majukumu ya mhusika au nini hasa? Kwa mfano, istalahi "Speaker". Mtu anaposoma neno hilo anapata picha kwamba neno lilitangulia na ndio kisha majukumu au kazi ya huyo speaker kuainishwa au kwamba ni kazi ndio zilianishwa kwanza na kisha ndio jina au cheo kuundwa? Sawa na Istalahi Padre.Mitume ndio waliopewa mamlaka ya kuondoa dhambi na hivi warithi wao(mapadre) nao wamerithi uwezo huo.Sasa unajiuliza wanaopinga kwamba padre hajatajwa popote katika Biblia kuondoa dhambi kosa liko kwa kuacha kujiita mitume na badala yake kujiita mapadre? Au shida iko kwenye tafsiri ya Neno Padre kumaanisha "Baba" au tatizo liko wapi hasa?
 
... bora nikatubu hadharani ili ulimwengu mzima usikie na kunisamehe kwa sababu kama nilikuwa jambazi sikuwa namkosea padri bali wale nilowapora zao mali...
Nani amekwambia kwamba ukiongea maovu yako hadharani utasamehewa kuliko kama ungeyaongelea kwa mtu mmoja? Hivi umeua mtu ukaenda kuongea hadharani, hiyo ndiyo tiketi ya kusamehewa? Umebaka msichana, ukaenda kuongea hadharani, jamii itakusamehe?? Umeshiriki kuvamia benki na kupora mamilioni ya fedha, ukaenda kuongea hadharani, jamii itakusamehe?
 
Kweli mkuu
Mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu ni mmoja, naye ni Yesu kristo si mtume wala nabii. Hivyo mwanadamu ukimkosea Mungu mwenye uwezo wa kukupatanisha wewe na Mungu ni mmoja tu.
1tim 2:5

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu maandiko yako wazi ni uvivu wetu kuyasoma na kumtafakari Mungu, ukisoma mathayo 7inafafanua Sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…