Nitaipinga hoja yako mkuu kupitia kipengele chako cha mada chenye maneno "Historia ya maungamo ya dhambi katika agano la kale"
Nianze kwa kukupa history kidogo. Mara baada ya anguko la Adamu na Hawa pale Eden Mungu alikuwa ameshaanda mpango wa wokovu wa Mwanadamu ndiyo maana utaona kuna mnyama alichinjwa pale ili wapate nguo za kuficha uchi wao lkn halikuwa lengo hasa Ila alichinjwa ili awe mbadala wao kwa dhambi walizotenda ndiyo maana hawakufa kama sheria isemavyo ya mshahara wa dhambi ni mauti.
Kutokea hapo utaona ibada za kafara kupitia wanyama zikianza kwa kila aliyekuwa akitenda dhambi na hata habari ya ukuhani pia baadaye hema ya kukutania ilipoanzishwa katika kitabu cha kutoka 25 agizo la ujenzi wa hema hiyo lilipotolewa.
Katika ujenzi ule Mungu anamwambia musa kuwa hema ile itakuwa mfano wa ile ya mbinguni kwa hiyo note hata mbinguni kuna huduma ya upatanisho kupitia kuhani
Turudi kwa mada hema ya kukutania Ilikuwa na sehemu kuu tatu uwa wa nje, patakatifu na patakatifu pa patakatifu ambapo ktk uwa wa nje ndiyo sadaka za kuteketezwa zilipotolewa ambapo mdhambi alitwaa kondoo kama mbadala wake na kwenda naye kwa kuhani ambaye aliact kama mpatanishi baina ya mwanadamu mdhambi na Mungu ambapo aliungama dhambi zake kwa kuweka mikono yake juu ya kichwa cha kondoo kama namna ya kuhamisha dhambi kutoka kwake kwenda kwa kondoo kisha alimchinja na kuhani kukinga damu na kuingia nayo kwenye chumba cha pili cha patakatifu kwa ajili ya kufanya upatanisho wakati kondoo akiteketezwa katika ua wa nje huu ndiyo ulikuwa utaratibu wa wokovu ulioandaliwa na Mungu kabla ya Kristo kuja duniani
Baada ya Kristo na kufa kama mwanakondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu yohana 1:29 na kufa pale msalabani habari za kwenda kuungama kwa kuhani zilikoma au huduma za kikuhani na utoaji kafara ulikwisha maana huduma ile ilikuwa kivuli kumuwakilisha Kristo na sasa Kristo ameshakuja hakuna haja tena kwenda kwa mwanadamu kuungama wakati Kristo yupo
Kwa hiyo hoja yako ya kuungama kwa padri ni kutaka kuturudisha kwa huduma ya kikuhani ya mwanadamu ambayo ni hatari sana maana unapinga kwamba Kristo bado hajafa kwa ajili ya dhambi na wewe unageuka kuwa mpinga Kristo
Leo hatuna haja ya kuungama kwa mwanadamu tena maana tunaye Kristo mwombezi wetu kuhani asiyepatikana na mauti anayehudumu ktk hekalu lisilofanywa kwa mikono ya mwanadamu huyo pekee astahili kutuombea msamaha kwa Mungu Baba na si mwingine yoyote
Akikujibu unitag au tukio la mwiz Mwizi Msalabani alikuwepo Padre nan?Mkuu umewahi kusoma kisa cha watu wawili walioenda hekaluni,mmoja aliungama dhambi zake kwa kunyenyekea mbele ya Mungu na mwingine alijivuna kwa wema wake,na Yesu akasema yule aliyenyenyekea alipata msamaha wa dhambi zake.Mbona alisamehewa bila kwenda kwa padri?
Na nafikiri kwenye uzi ule kuna baadhi ya watu waliowahi mwanzo walihoji kwa nini na niliwapa jibu na wala hakuna mtu aliyezuiliwa kwenda kuomba msamaha kwa Mungu kupitia mapadri. Ila si mapadri wote siku hizi wanatenda kazi zao katika maadili yanayokubalika. Mengi nilieleza ndani ya uzi ule kwa walionihoji hivyo siwezi kurudia hapa maana si muda muhafaka kwa hilo. Kila mkatoliki ana haki ya kwenda mbele ya padri kwa maungamo ila mtu huwezi kwenda pale huku ukiwa unakumbuka kitu kilichowahi tendeka nyuma na padri mwenzie ukaondoka kwenda kwenye malipizi ukiwa bado una wasiwasi. Binafsi siwezi sijagusia mtu mwingine.
Ukatoliki ndio unafanya ukiristo ionekane ni imani ya kipuuzi hapa dunianiAkikujibu unitag au tukio la mwiz Mwizi Msalabani alikuwepo Padre nan?
Mbona mnaacha mafundisho ya Mungu ili mtimize matakwa yenu?.View attachment 850492View attachment 850493
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀 umenichekeshaa sana point yako ya pili. ulimsubiri mda gani mpaka alipomka.Kuna mtu akinambia wenye biblia mi binafsi sijaona neno padre, kupitia hapo tu padre simtambui. Au padre ndo mchungaji??
Nikakosa jibu.
OK Nije kwenye mada ya kuungama kwa padre,swali langu ni hili, nikiungama kwa padre Mwenye dhambi nasamehewa??
PILI, Niliwahi kuungama kwa padre,huku padre akiwa anasinzia,,niligundua baada ya kumaliza ye akiwa kasinzia badae akashtuka akanipa sala za kusali,,je pale nilisamehewa?? Mana msameheji alilala
TATU, padre akiwa kanitongoza naweza kwenda kuungama kwake??
Basi kwa padri kama huyo utaendelea vipi kwenda kwake!? Wengine naweza kufikiria ila siwezi rudia kosa.Kukosa kwa Petro hakukuwahi kumuondolea mamlaka na madaraka(ukulu) ambao alishapewa naYesu.Kwa hiyo,Padri kushindwa kuzingatia siri za maungamo hakumuondolei mamlaka hayo ya kukuondolea dhambi.
Padre babu afu mzungu,, nilisubiri muda sana ,,hata zilifika dk 5 ,,ye kalala. Alivoamka akashtuka mpaka nikahisi kashtuka,,,😀😀 umenichekeshaa sana point yako ya pili. ulimsubiri mda gani mpaka alipomka.
😱😀😀Padre babu afu mzungu,, nilisubiri muda sana ,,hata zilifika dk 5 ,,ye kalala. Alivoamka akashtuka mpaka nikahisi kashtuka,,,
Mkuu umewahi kusoma kisa cha watu wawili walioenda hekaluni,mmoja aliungama dhambi zake kwa kunyenyekea mbele ya Mungu na mwingine alijivuna kwa wema wake,na Yesu akasema yule aliyenyenyekea alipata msamaha wa dhambi zake.Mbona alisamehewa bila kwenda kwa padri?
Umeandika meeeengi hoja no padri no binadamu,naye ana mapungufu ,vipi uunhame kwake usiungame Kwa mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
tangia zamani nilikuwa nawahoji wazaz wangu ambao ni wakatoliki ujasiri huo unatoka wapi kuungama kwa padre?jibu ni kwamba haifai hata kidogo kwako mwenyewe usalama wako ni mdogo napia hata kwa mungu pia utakuwa umenyanganya mamlaka ya yesu
Umeandika meeeengi hoja no padri no binadamu,naye ana mapungufu ,vipi uunhame kwake usiungame Kwa mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwa padri kama huyo utaendelea vipi kwenda kwake!? Wengine naweza kufikiria ila siwezi rudia kosa.
Catholism is ant Christ by nature