SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
- Thread starter
- #321
Ukristu na ukristo ni sawa? Kama ulikuta neno la Mungu kwenye agano jipya imeandikwa Kristo kwa nini humkuacha kama ilivyo? Mbona mnajitoa ufahamu wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni nini hasa? Wenzio tumeshawaelewesha kwamba istilahi "Kristo" na "Kristu" ni maneno yenye maana sawa tofauti iko kwamba Kristo limetoholewa kutoka lugha ya Kigriki na "Kristu" limetoholewa kutoka lugha ya Kilatini.Sasa unaposema tulitakiwa tunaposoma Biblia tuendelee kutumia neno "Kristo" unamaanisha kwamba hakutakiwa kufanya translation yoyote?