Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Hiyo jazba sasa, mie sina hakika kama unajua tusi.. ushawahi kutukanwa weye.. unashindwa kujieleza mwenyewe kwenye maada yako unaongelea wanaume wenzako we vipi weye.. we jilengeshe tutakukanda!! utoto unakusumbua.. kakojoe ukalale na usilete maada za kipumbavu tena..bongolala kama hizi ndizo zinazotufanya wote tuonekane kuku.. mie sipendi ati.. watu tumechoka.. watu tunahitaji maendeleo.. watu tunauvaaa utaifa na kutaka Tanzania iwekwe kwenye ramani ya Dunia kama nchi.(maana kwa sasa Tanzania inaonekana kama mmoja wa mikoa ya Kenya nje ya Nchi.. Tembea uone.. hakuna mwenye Muda a Kuangalia nchi ya tatu kutoka poverty stigma Line) . kisha huku mbummbumbu fulani wanaleta maudhi tu.. Hawahawa ndio wale wanaotetea Kikoi na kukiita Hijabu.. hata aibu hamuoni.. Lateni Kadhi.. Tutaonyeshana .. Dini sio ya wababa peke yao sote tuna Haki katika Dini.. Mbona Mtume mwenyewe hakutesa wake zake kama Nyie mnavyofanya Leo..??
Bibie kwani mahakama ya kadhi inalenga kuwatesa wanawake wa kiislam?
Kama uanfikiri inalenga kuwatesa wanawake tayari una prejeduices kwenye mtazamo wako..
Lakini nia ya mahakama ni kwa waislam kufanya ibada hasa katika mirathi na ndoa..kwani sheria ya ndoa ya 1971, inakwenda kinyume cha mafundisho ya dini yetu..
Kuna faida nyingi kwa mahakama ya kadhi unatakiwa kujielmisha zaidi..
Topical said:Sijakuelewa una frustation yeyote na mume wako katika mahusiano yenu au??
Maana sijaona uhusiano wa mahakama ya kadhi na unachoongea wewe, kama mume wako ameshindwa 6X6 waweza kutafuta mwingine ..
Kabla ya kujibu ulitakiwa kwanza umuombe msamaha. Ina maana uliandika neno "intellectual argument only" kujaa tiittle au unaelwa sematic ya hilo neno. Unanesha umejitarisha kujibu comment za watu wanaooonekana si waislam sasa SALMA anaonekanana lady na ana intellectual argument. mjibu na mueleweshe. vizuri lakini......
Aiseee ndio intellectual argument. MUOMBE MSAMAHA SALMA
Hakuezi kukawa na intellectual argumentation kwene hoja za kipumbavu..bottomline.
Tatizo ni hilo kwamba maoni yako ni bora kuliko hukumu ya munguJazba za nini nyie wajahidina. Hata hiyo mahakama ya kadhi haina nafasi ya kutoa haki zaidi ya kuchanganyana zaidi. Naomba mzingatie vifungu hivi vya Quran halafu muone kuwa hata wazo lenyewe lina utata. Matusi ya Topical kuwaambia wachangiaji waume zao wameshindwa si sahihi. Kinachojadiliwa hapa ni mahakama na sio waume za watu, kuweni na heshima angalau kidogo.
Je Kadhi ataamua kwa hisia au kwa kufuata maandiko toka kwenye Quran? Kama ataamua kwa kufuata maandiko toka kwenye Quran, hebu na tutazame kwa pamoja aya hizi:
Sura 4:11-12 and 4:176 state the Qur'anic inheritance law. When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife [4:12] which adds up to more than the available estate.
Suppose inayogawiwa ni SH 100.
2/3 ya 100 ni Sh 66.7
1/3 ya 100 ni Sh 33.3 na
1/8 ya 100 ni Sh 12.5
Utaona hapa kuwa Jumla la gawio ni 112.5, ambayo tayari imezidi kiasi kilichopo. Sasa katika hali kama hii, Kadhi anatoa wapi Sh 12.5 za kuongezea hapo ili warithi wapate kwa mujibu wa Quran?
Mfn Mwingine: A man leaves only his mother, his wife and two sisters, then they receive 1/3 [mother,Sura 4:11], 1/4 [wife, Sura 4:12] and 2/3 [the two sisters, Sura 4:176], which again adds up to 15/12 of the available property.
Hapa napo kama inayogawiwa ni 100, dividents zinafika 125 ambayo ni 25 more than available amount.
Kutokana na utata huu, ni dhahiri Kadhi atabase katika hii:"Allah commands you regarding your children. For the male a share equivalent to that of two females. " [Quran 4:11]
Na huu ndio utata katika modern life kwamba mama apate 1/3 ya mali ya mwanawe, Mke apate 1/4 ya Mali waliochuma na mumewe. Kwa maoni yangu hii sheria italeta vinyongo kwa wanawake wanaofanya kazi. Tunapojadili haya tujue kuwa hapa ni Tanzania na sio Uarabuni ambapo mwanamke kazi yake ni kumuhudumia mume na kuzaa watoto. Bi Asha ambaye ni mfanyakazi wa Umma kwa miaka 14 afiwe na mume halafu 1/3 ya mali iende kwa mama mkwe wake, yeye apate robo?!!
Tupunguze jazba na maneno ya kuokoteza, hebu tuliangalie hili
Lolz...is that all u can say? Why I am not surprised I wonder.Tatizo ni hilo kwamba maoni yako ni bora kuliko hukumu ya mungu
Umejuaje? Au una fetish na vinyec?Wewe kunya kando ya choo ndio zako !
Mungu anasema binaadam ni dhaifu, na ndo maana mnahangaika na katiba mpya, hamuaminiani wenyewe kwa wenyewe !Lolz...is that all u can say? Why I am not surprised I wonder.
Hoja hapa ni hukumu ya mnyaazmngu inayosema 1+1==0 halaf kuna watu mnataka tusiohusika tugharamikie hukumu hii, not in million years. Kama mnataka kushikilia ur medieval beliefs and traditions which makes no sense at all, knock urselves out at ur own costs and time. That's all we r asking.Mungu anasema binaadam ni dhaifu, na ndo maana mnahangaika na katiba mpya, hamuaminiani wenyewe kwa wenyewe !
kwani wewe ni miongoni mwa Wanaoamini??!Hoja hapa ni hukumu ya mnyaazmngu inayosema 1+1==0 halaf kuna watu mnataka tusiohusika tugharamikie hukumu hii, not in million years. Kama mnataka kushikilia ur medieval beliefs and traditions which makes no sense at all, knock urselves out at ur own costs and time. That's all we r asking.
Wewe waonaje? Naeza kuamini hiyo equation inatoka kwa Mjua Yote?kwani wewe ni miongoni mwa Wanaoamini??!
oooh ! Kumbe Kafiri ! Ndio maana hata hiyo equation imekaa kikafiri. Sijui ujuzi wa kukokotoa na kuelewa uliupata wapi ? BTW kuna kitu unapoteza !Wewe waonaje? Naeza kuamini hiyo equation inatoka kwa Mjua Yote?
mnyaazmmngu anayeshindwa hata kufanya arithmetics sawasawa, kwa maana hiyo basi hata miungu ya ancient Egyptians inamzunguka mara billion huyu mungu wenu kwa uelewa. priceless.oooh ! Kumbe Kafiri ! Ndio maana hata hiyo equation imekaa kikafiri. Sijui ujuzi wa kukokotoa na kuelewa uliupata wapi ? BTW kuna kitu unapoteza !
Ww jitie usogora tu. Unatakiwa kuomba msamaha kwa kumuandika visivyo MWENYEZI MUNGU.mnyaazmmngu anayeshindwa hata kufanya arithmetics sawasawa, kwa maana hiyo basi hata miungu ya ancient Egyptians inamzunguka mara billion huyu mungu wenu kwa uelewa. priceless.
Muda huo sina.Ww jitie usogora tu. Unatakiwa kuomba msamaha kwa kumuandika visivyo MWENYEZI MUNGU.
We kwa jeuri utawashinda watu wa Noah ! Huna ujanja hata wakupigana na mdudu 'mmbu'!! Jisifie ujuha tuu !Muda huo sina.