Jazba za nini nyie wajahidina. Hata hiyo mahakama ya kadhi haina nafasi ya kutoa haki zaidi ya kuchanganyana zaidi. Naomba mzingatie vifungu hivi vya Quran halafu muone kuwa hata wazo lenyewe lina utata. Matusi ya Topical kuwaambia wachangiaji waume zao wameshindwa si sahihi. Kinachojadiliwa hapa ni mahakama na sio waume za watu, kuweni na heshima angalau kidogo.
Je Kadhi ataamua kwa hisia au kwa kufuata maandiko toka kwenye Quran? Kama ataamua kwa kufuata maandiko toka kwenye Quran, hebu na tutazame kwa pamoja aya hizi:
Sura 4:11-12 and 4:176 state the Qur'anic inheritance law. When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife [4:12] which adds up to more than the available estate.
Suppose inayogawiwa ni SH 100.
2/3 ya 100 ni Sh 66.7
1/3 ya 100 ni Sh 33.3 na
1/8 ya 100 ni Sh 12.5
Utaona hapa kuwa Jumla la gawio ni 112.5, ambayo tayari imezidi kiasi kilichopo. Sasa katika hali kama hii, Kadhi anatoa wapi Sh 12.5 za kuongezea hapo ili warithi wapate kwa mujibu wa Quran?
Mfn Mwingine: A man leaves only his mother, his wife and two sisters, then they receive 1/3 [mother,Sura 4:11], 1/4 [wife, Sura 4:12] and 2/3 [the two sisters, Sura 4:176], which again adds up to 15/12 of the available property.
Hapa napo kama inayogawiwa ni 100, dividents zinafika 125 ambayo ni 25 more than available amount.
Kutokana na utata huu, ni dhahiri Kadhi atabase katika hii:"Allah commands you regarding your children. For the male a share equivalent to that of two females. " [Quran 4:11]
Na huu ndio utata katika modern life kwamba mama apate 1/3 ya mali ya mwanawe, Mke apate 1/4 ya Mali waliochuma na mumewe. Kwa maoni yangu hii sheria italeta vinyongo kwa wanawake wanaofanya kazi. Tunapojadili haya tujue kuwa hapa ni Tanzania na sio Uarabuni ambapo mwanamke kazi yake ni kumuhudumia mume na kuzaa watoto. Bi Asha ambaye ni mfanyakazi wa Umma kwa miaka 14 afiwe na mume halafu 1/3 ya mali iende kwa mama mkwe wake, yeye apate robo?!!
Tupunguze jazba na maneno ya kuokoteza, hebu tuliangalie hili