Topical anatetea ajira yake jamani, yumo kwenye list ya makadhi pamoja na vile vizee vinavyoshinda kwenye mabao na kahawa na kuoa wake wengi, wanataka warambe ajira serikalini kilaini bila jasho la kufuta umande
Topical, hiyo sheria ya ndoa ya 1971 inasemaje hapo, na kwa nini haiwezekani kwa mujibu wa sheria, in other words, kipengele husika ni kipi ambacho hakiwezekaniki kuwa applied katika mazingira hayo?Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Yaani unataka kutuaminisha wanawake wa kiislamu wanapenda sheria za kiislamu za kuwazuia kuendesha magari na kuwazuia kupiga kura?@shizukan
Wanawake waislam wanapenda hukumu za kiislam sana tu, na katika jamii inayoongoza kwa kuingia katika haki ni wanawake duniani ..
naomba ujibu yale maswali with intellect, siyo ushabiki bearing in mind tuna waislam 50% in Tanzania ok
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
Nimeuliza tatizo lenu nini hasa?
Kama ni fedha serikali inalipa mahakimu sasa kwa kuendesha kesi za waislamu ambazo wanakosea sana hukumu
Kwa hiyo kukiwa kadhi hela hiyo hiyo inayotumika sasa ndio itatumika ok
usiwe na wasiwasi na hela ok..
naomba solution ya mambo haya niloyaeleza hapo juu..
Ndio maana Tanzania haina sheria moja ya mirathi: ziko tatu - ya jadi/customary ( wanaopendelea mila zao zaidi), za kidini ( kwa waislam) na Indian Succession Act 1865!( imeazimwa na kutumika toka Ukoloni). Sasa Waislam wanatakiwa kutumia hiyo sharia yao ndani ya mfumo wa kimahakama.Kwanini wasidai kuboreshwa mfumo huo kama kuna mapungufu, na badala yake watake mfumo parrallel utakaohitaji resources za ziada kutoka kwa walipa kodi ambao wengine siyo waislam?Mimi sioni kwanini Watanzania wasio wasilam kulazimika ku support mfumo wa kidini ambao hauwahusu.
Kama hawataki kwenda mahakama hizi za kawaida (kwasababu za imani yao na wao ni watanzania) tuwafanyeje?? acha ushabiki nataka intellectual arguments
@shizukan
Wanawake waislam wanapenda hukumu za kiislam sana tu, na katika jamii inayoongoza kwa kuingia katika haki ni wanawake duniani ..
naomba ujibu yale maswali with intellect, siyo ushabiki bearing in mind tuna waislam 50% in Tanzania ok
Na hii nayo sio intellectual argument,kwani hayo mapesa ambayo leo serikali inapatia makanisa kwa kuendeleza makanisa na mashule yao...!!hizo kodi na wakristo pekee!!!sijui kwa nini nchi hii viongozi wandamizi wengi wao ni legelege wanashindwa hata kuamua mambo mengi madogo madogo ambayo yanaweza kuleta machafuko ya kidini.
Vipi kuhusu kenya,nchi ambayo takwimu inaoneshwa wengi ni sio waislam lakini wakristo wamepiga kelele lakini govt wamerudisha tena kwenye katiba mpya.Hii nchi bwana...kwisha kabisa,kila kitu ni siasa,kila kitu udini....!
Kama hawataki kwenda mahakama hizi za kawaida (kwasababu za imani yao na wao ni watanzania) tuwafanyeje?? acha ushabiki nataka intellectual arguments
Yaani unataka kutuaminisha wanawake wa kiislamu wanapenda sheria za kiislamu za kuwazuia kuendesha magari na kuwazuia kupiga kura?
Kuna some hidden Agenda hapa.