@shizukan
Wanawake waislam wanapenda hukumu za kiislam sana tu, na katika jamii inayoongoza kwa kuingia katika haki ni wanawake duniani ..
naomba ujibu yale maswali with intellect, siyo ushabiki bearing in mind tuna waislam 50% in Tanzania ok
Mahakama ya kazi ipo Tanzania na ndio inayoshughulikia kesi za madai ya wafanyakazi na waajii wao.Nchi hii aiendeshwi na Sharia, so mahakama ya kazi haikubaliki.
Hapo kwenye red naomba source.
Saudia ni Jamhuri ya kiislamu na inaendeshwa kwa sheria za kiislamu na ndio nchi ambayo Mtume Muhamad alikuwa Raia wa nchi hiyo.@matola hkuna sheria ya kiislam inyomzuia mwanamke kuendesha gar hyo ni sheria ya saaud aarabia tu ndo bi khadija mke wa mtu alikua akingoza misafara ya biashara na hakukatazwa nn kurndesha gar
Makabila yalikuwepo kabla ya uislamu na ukristo hapa Tanganyika na kabila ndio kitu chenye nguvu kuliko dini na ndio maana hakuna sehemu yoyote ya kubadili kabila, bali dini unaweza kuzibadili kama chupi tu.Halaf mnapofananisha uislam na kabila ni vitu tofauti kabisa maana uislam haubadilikibadiliki kama sheria za makabila na pia uislam upo kote hata kwenye hayo makabila.pili sheria za makabila zimetungwa na watu kutokana na experience zao lakin za kiislam ni za alieumba hao watu zp zitakua bora?
Kama Saudia hii sio ile ya Mtume Muhamad, sasa huwa mnakwenda kuhiji Saudia ipi? na kama wewe unawashangaa wao Saudia wenye mtume wao Muhamad sasa maamuma kama wewe huoni kama umedandia treni kwa mbele kwamba unafuata mkumbo tu?Saud arabia ya mtume si hii ya sasa angalia familia ya kifalme wanavyofanya ni mafundisho ya kiislam yale mke wa mfalme hata hijab havai saud arabia kuna kila aina ya stareh ambazo ni haram wao wanatumia baadh tu ya sheri mbona iran jamhur ya kiisla mpaka mpira wa miguu wanawake wanacheza husem
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
Yesu Kristo alishauri ukifika kwenye harusi kaa nyuma nyuma, kama unastahili kukaa high table watakuita mbele wenyewe, ukijikalisha mbele pakawa sipo, ukatimuliwa, ni fedheha....Nitaendelea na intellectual argument anyway kama ifuatavyo:
...Mshahara mbona ni kitu kidogo sana? ....utahitaji network ya kutosha.Tanzania ina ukubwa wa maili 362,000! ....Unafikiri tatizo ni mshahara wa mahakimu tu? ...
... mfumo parrallel utakaohitaji resources za ziada kutoka kwa walipa kodi... Ndio maana Tanzania haina sheria moja ya mirathi: ziko tatu ... za kidini ( kwa waislam) .
Mtume Muhamad ni raia wa Saudi Arabia na kaburi lake lipo Saudi Arabia, ni kipi hapa usichokielewa? kwani Manchester United si ni club ya Uingereza lakini ina mashabiki dunia nzima? sembuse Mtume Muhamad!!Mtume muhamad sio wasaudia ni wadunia nzima halaf makkah imejengwa na abraham yule yule wenu.halaf huwez kusema gari bov kwa sababu dereva mbovu kalipatisha ajal.
Islam is the world's second largest religion after Christianity. According to a 2009 demographic study, Islam has 1.57 billion adherents, making up 23% of the world population
Islam is, as of 2007, the religion in Tanzania with 35% of the population of the mainland (Tanganyika) and more than 99% of the population in Zanzibar being Muslim.[SUP][1][/SUP]
Nilitaka ulielewe hili kwamba Mtume Muhamad alizaliwa Saudia na ni raia wa Saudia Arabia na alifia Saudi Arabia na akazikwa Saudi Arabia na kaburi lake lipo Saudi Arabia.Nan kakataa kwamba katokea saudia ndugu?