LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" .
Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria.
Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho.
Mnadanganywa sijui shetani mara mpinga kristu vitu gani . Ujinga mtupu.
Hata kwenye vitabu vyenu vya Dini mitume na manabii wenu wana sapoti New World Order.
Mfano kwenye Bible "Revelation 21:1" unazungumzia kuhusu kushushwa Kwa mbingu Mpya na dunia Mpya. Andiko linamaanisha kusimikwa Kwa mfumo Mpya WA maisha ya hapa duniani ambao utakuws facilitated na maendeleo ya teknolojia.
Kwenye mfumo huo wa dunia Mpya hakutakuwa na magonjwa wala Vifo( Kwa sababu teknolojia itakuwa advanced na " Human mortality" will be a real thing. Kupitia teknolojia hiyo hiyo wafu watafufuliwa)
Mafundisho ya Dini ya kiislamu yanafundisha kuhusu siku ya Qiyama (kihama)ambayo Nabii Issa( Yesu) atashuka duniani.
Hukumu itatolewa wema wataenda peponi wabaya Jehanamu.
Ndio mfumo Mpya huo maisha ( New World Order)
Peponi itakuwa ni kula bata tu hakuna Kufa, Hakuna magonjwa, Hakuna Ibada ni kula raha tu ( Ndio New World Order yenyewe hiyo mkuu)
Conspiracy theorists wa New World Order wanasema kwenye mfumo Mpya wa dunia kutakuwa na matabaka mawili tu moja la matajiri na jingine la watumwa,😁😁😁 mafundisho ya Ukristu na Uislamu yana sema kutakuwa na pepo na Jehanamu. Wema wataenda peponi wabaya Jehanamu. Sasa huoni ndio New World Order yenyewe hiyo 😁😁😁
Naunga mkono New World Order. Ole wako nikujue unapinga New World Order ntakucharaza viboko mpaka utoke machozi ya damu