TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Wabunge counterfeitKwa hiyo huko kwenu hakuna wabunge???
ππππKwa hiyo huko kwenu hakuna wabunge???
Uchaguzi ushapita ukubali ukatae hao ndio wabunge na madiwani wako ,hata Seif na ACT wanatambua hilo .Wabunge counterfeit
Uchaguzi ushapita ukubali ukatae hao ndio wabunge na madiwani wako ,hata Seif na ACT wanatambua hilo .
Usipotoa ushirikiano yeye atapata ushirikiano kwa mke wake.Ss unamkomoa nani mtaa wako ndio utachelewa maendeleo.ππππNi kweli, lakini hawawezi kupata ushirikiano wetu maana hatuwatambui. Mtaani kwetu kuna mtendaji alipita kwenye ule uchaguzi wa kihuni wa SM, ameitisha mikutano mara 2 sijui kujadili maendeleo, watu waliojitokeza mara zote ni wachache sana, mpaka ilibidi aahirishe hiyo mikutano. Na hata hawa watapata ushirikiano kwa waliowachagua na sio sisi.
Usipotoa ushirikiano yeye atapata ushirikiano kwa mke wake.Ss unamkomoa nani mtaa wako ndio utachelewa maendeleo.ππππ