Wanaoporomoka na kuanguko katika maendeleo yao wengi ni husuda tu, fanya haya kujiepusha na husuda

Sasa inategemea unabadilisha badilisha magari kwa lengo lipi? Kama kimekuja gari tolea jipya na pesa ya kununua unayo na kweli unatakani kununua, sasa usinunue kwanini? Na ukinunua ukatembelee chumbani?

Ngoja nikwambia, jelousy ni evolutionary trait muhimu sana ya binaadamu, wivu ni nyenzo ya maendeleo kwa binadamu, nimeshuhudia mtaa mmoja vijana 10 wameoa kwa kufululiza ndani ya miezi 6 tu, yaani ilikuwa kama mashindano, sababu kubwa ni wivu yabkuona wenzake wanaona na kuwa na familia, na mwingine anaamua kuoa. Pia wengine wakiona wanashindwa kukufikia, wanajaribu kukushusha ili wao wasionakane wa chini, kwamba mko sawa, sasa wewe pambana usishuke.., sio kuifucha ficha, kuficha jasho lako ni counterproductive.., maana inapoteza maana halisi ya kuvuja jasho.

Kumbuka, kujaribu kumshusha anayepanda ni sawa na kumpiga chura teke. Rejea kisa cha manara kufungiwa na TFF na kufukuzwa Simba, ile misukosuko ndio chanzo cha hata wasiomjua kumjua, yaani wivu wa MO na Karia kwa Manara ndio umesababisha amekuwa mkubwa kuliko hata wao.

Rejea kisa cha Niffer na Majaliwa, hata tusiomjua tulimjua, na akawa mkubwa zaidi, wivu ni nyenzo ya maendeleo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…