Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.
Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.
N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.