Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Haina ubaya iwapo wanaenda kupata majibu ya mahitaji yao na kupita .

Mungu ni mmoja tu alotuumba Wanadamu ukisoma agano la kale Waislam na Wakristo ni kitu kimoja .

Kwenye Agano jipya ndiko kumeleta tofauti.
 
Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.

Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.

N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.
Umeshasema dini ya waarabu Kisha unasema huko hapa kukashifi dini Sasa nikuulize uislamu ni dini ya waarabu
 
Katika viumbe wasio na kitu kichwani basi hawa wakristo wanaoliwa sadaka na kina Mwamposa,Suguye,Mzee wa upako, n.k ni viumbe waliobeba kamasi kichwani maana wanavyomtajirisha mtu kwa kuigiziwa miujiza aisee!

Kuna jamaa hapa JF Aliwahi kuandika mada inayomhusu Mwamposa walikuwa wanapigika nae kitaa leo ni nabii na mtume shenzi kabisa.

Mnaambiwa mkatoe sadaka za kujimaliza urudi mifuko imetoboka inasikitisha sana dini kuwa na waumini mbumbumbu na watu matapeli wanajiita manabii.
Kuropoka usichokijua na kukashifu wakristo Ni wazi huelewi kilichopo ndani .
Punguza uchungu na chuki
 
Sheria gani inakataza ? ikiwa katika kingereza au lugha yeyote inaitwa tafsiri ya Qu'ran na hakuna ubaya kujua tafsiri kwani lengo ni kuelewa vizuri kiarabu inabaki kama msingi na ndio Qur'an yenyewe.
Ala kakataza..hujui kuwa yeye hajui lugha zaidi ya kiarabu unataka kumchanganyia mafaili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
KWAHIYO UNATAKA KUSEMAJE?

LENGO LAKO NI KUTAKA KUJULISHA NINI?

ACHA USHAMBA..!

SIO KILA MVAA KANZU, HIJABU, SHUNGI NI MUISLAAM... HATA WEWE WAWEZA VAA NA HAMNA ANAYEKUZUIA...

NA SI KILA ANAYEITWA JUMA, RAMADHANI NI MUISLAAM... NI MAJINA TU KAMA LILIVYO JINA LA KINJIKITILE NGWALE...

YEYOTE UNAYEMUONA KWA MWAMPOSA... UJUE NI MUUMINI WA MWAMPOSA NA DINI YAKE... WALA HAKUNA MUISLAAM PALE...

WAISLAAM UTAWAKUTA MSIKITI WANASWALI NA WANAIFUATA DINI YAO KWA MAFUNDISHO SAHIHI...
Njoo kesho ukanyage mafuta huku ukila keki ya upako ukishushia na majo ya upako..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ala kakataza..hujui kuwa yeye hajui lugha zaidi ya kiarabu unataka kumchanganyia mafaili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustaili kujibiwa ,una kiwango kikubwa cha ujinga na unapaswa kupuuzwa
IMG_20220419_163155.jpg
 
Wewe mwenyeakili unafanya nini kwa wajinga?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea vipi na yeye alipotea ?

Na Manabii je waliotumwa kwa watu wakosefu kuwarekebisha katika njia iliyokuwa sawa vipi walikua nao wakosefu?

Nb:Ukiwa na akili ya kutafakari maswali niliyokuuliza hapo juu na majibu yake itakua nadhani itatosha kwa kwako kutambua umefikia daraja lipi la ujinga ..
Screenshot_20220622_132008.jpg
IMG_20220419_163155.jpg
 
Mbona Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea vipi na yeye alipotea ?

Na Manabii je waliotumwa kwa watu wakosefu kuwarekebisha katika njia iliyokuwa sawa vipi walikua nao wakosefu?

Nb:Ukiwa na akili ya kutafakari maswali niliyokuuliza hapo juu na majibu yake itakua nadhani itatosha kwa kwako kutambua umefikia daraja lipi la ujinga ..View attachment 2316201View attachment 2316200
Barikiwa sana mtumishi..damu ya Yesu kristo ikubariki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom