Kwao huko kinacho patikana ni mafunzo ya yesu sio mungu,yesu si mwana wa mungu kwani mungu hazai, mungu hakupewa mimba.!
Mwisho wa siku kuna gharama za maisha za kulipa: umeme, maji, nauli, chakula, mavazi, malazi, akiba. Vyote vinapatikana kwa kufanya kazi na kuwepo kwa imani sahihi ya mtu. Kinyume na hapo ni maisha ya shortcut,
Ndio maana mashoga wengi imani yao ni hiyo hiyo;
Watoto kuvizia mali za wazazi wao,kesi nyingi za mirathi ni wao;
Wakishindwa sana sana ni kuwa madalali (mtaji wao ni maneno mengi);
Wengine umri wa miaka 50, 60, 70 bado wamepanga vyumba, hawana kwao.
Watoto kuto endelea na masomo, na wengine kuolewa kwenye umri mdogo. Unakuta mwanamke wa umri wa miaka 21 tayari ana ndoa tatu na zote zimevunjika!
Ukikuta mwenye kazi nzuri, basi ni yaya kwa wahindi!
Dini yao iko kimyaa wao adui yao ni yesu tu.
Angalia matangazo ya waganga wa kienyeji, wote majina yao ni shekh majid, shekh salumu, sijui ana toa tiba ya pesa za majini, anarudisha mpenzi, mara nguvu za kiume,.
Sasa kwenda kwa mitume na manabii ni shortcut nyingine, acha na wapigwe.