Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Muislamu ulisha wahi kumuona wapi hapa tanzania?
Tanzania hakuna waislamu kuna WAISIHARAMU TU ndiyo wapo kwa mwamposa na misikitini
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu wengi hufata mkumbo. Utasikia mimi mtoto wa kiislam
 
Kama ni hivyo basi nyie waislam wengi hamna din maana kwa mwamposa wanajaa sanaa waislam mpaka wanagombaniana viti na wakristo😀😀😀 na sio kanisa hilo tu nimeona hata kwa nicholas suguye waislam kibao na wengi wanabatizwa na kuwa wakristo sijui kwanini siku hizi waislam wanakimbilia ukristo kwa kasi sana
Uko sahihi wengi wamesilimu na kusema hawana dini ina maana wanakufuru, ila Muumini wa kweli humkuti makanisani ukimkuta kanisani kwa nia za kishirikina ina maana kakufuru, uislam una masharti yake kama hayafatwi hujawa muumini kamili, unakua muislam na antakiwa atubu dhambi zake, asipotubu basi ana yo haki ya kuadhibiwa na alie muumba akitaka. kitu kimoja elewa maana ya kosa. Kosa ni dhambi. na kila kosa lina andikiwa dhambi, nafikiri nimekupa elimu kwa kistaarabu, sio kwa kukutana.
 
Akili za vilaza hivi..leta ushahidi wa hay mabiliona lasivyo mnajazwa upuuzi..watu mmejaa ubaahili na umasikini..mkiona makanisa na mashule na mahospital yanajengwa na waumini mnaaanza kulia lia eti wanalipwa na serikali...akili imebeba makamasi tupu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pole
 
Kuna dada tulikaa nae ile siku ya mkesha...ile tunaandika vikaratasi si akapigiwa simu na boyfriend wake. Basi akanipa nimpelekee kikaratasi ile nakifungua. Ameandika anaomba Mungu amponye na HIV, nilitetemeka kidogo nikiangushe. Na ni pisi kali kinoma
 
Ulifanya makosa sana, hukutakiwa kufungua mbona tunakosa uaminifu, ingekuwa pesa sungekimbia nazo wewe, HIV ni angalau kuliko wenye kansa na kisukari and hopefully atapona tu mungu amsaidie
 
Kama ni hivyo basi nyie waislam wengi hamna din maana kwa mwamposa wanajaa sanaa waislam mpaka wanagombaniana viti na wakristo[emoji3][emoji3][emoji3] na sio kanisa hilo tu nimeona hata kwa nicholas suguye waislam kibao na wengi wanabatizwa na kuwa wakristo sijui kwanini siku hizi waislam wanakimbilia ukristo kwa kasi sana
Neema ya kristo inawashukia..wamejua walikua kwenye vifungo vya shetani kupitia kivuli cha dini.

Ile sio dini ya waulimwengu bali ni utamaduni wa maisha ya waarabu na mababu zao..ndio mana wanakaririshwa lugha ya kiarabu pia kuishi kama waarabu.
Sio dini ya rohoni ni dini ya kimwili zaidi..na ndio dini inaaogoza kuwa na waganga wengi wa kienyeji...kazi yao kubwa ni kuwanga na kuuza dawa za mvuto wa kimapenzi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.

Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.

N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.

Samalekum
 
mkuu nje ya mihemko ya kawaida kabisa ya kidini tuliyo nayo.
maisha yanatushape tuwe watu wa tofauti sana kijana wangu,ipo siku na uislam wako utatafuta alipo nabii yeyote akuombee walau upate ahueni ya mtihani unaopitia.

binafsi siwaamini kabisa hawa manabii wa mbio,lakini simzuii mtu kwenda kutafuta huko anachokihitaji.waislam wapo wengi sana ktk hayo makanisa.
Umeongea ukweli mchungu mpaka nimedondosha choz
 
Neema ya kristo inawashukia..wamejua walikua kwenye vifungo vya shetani kupitia kivuli cha dini.

Ile sio dini ya waulimwengu bali ni utamaduni wa maisha ya waarabu na mababu zao..ndio mana wanakaririshwa lugha ya kiarabu pia kuishi kama waarabu.
Sio dini ya rohoni ni dini ya kimwili zaidi..na ndio dini inaaogoza kuwa na waganga wengi wa kienyeji...kazi yao kubwa ni kuwanga na kuuza dawa za mvuto wa kimapenzi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
 
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
Hii si sawa, hakuna mkristo anayekubali ndoa za jinsia moja
 
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
Jibu hoja sio kuleta vioja..wapi kwenye biblia andiko limeruhusu mapenzi ya jinsia moja..ukipata huo mastari ndio uje kuulashifu ukristo.

Kila goti litapigwa mbele ya kristo..hata waislam wanasubiri ujio wa mara ya pili wa kristo Yesu...aje awahukumu mataifa kwa haki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jibu hoja sio kuleta vioja..wapi kwenye biblia andiko limeruhusu mapenzi ya jinsia moja..ukipata huo mastari ndio uje kuulashifu ukristo.

Kila goti litapigwa mbele ya kristo..hata waislam wanasubiri ujio wa mara ya pili wa kristo Yesu...aje awahukumu mataifa kwa haki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pole ukiristo nI dini ya mzungu na hayo pia ni mzungu kalibariki inawabidi mumfuate mzungu maana yeye ndio mwenye dini yake upo
 
Back
Top Bottom