Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Kwao huko kinacho patikana ni mafunzo ya yesu sio mungu,yesu si mwana wa mungu kwani mungu hazai, mungu hakupewa mimba.!

Mwisho wa siku kuna gharama za maisha za kulipa: umeme, maji, nauli, chakula, mavazi, malazi, akiba. Vyote vinapatikana kwa kufanya kazi na kuwepo kwa imani sahihi ya mtu.kinyume na hapo ni maisha ya shortcut,
Ndio maana mashoga wengi imani yao ni hiyo hiyo;
Watoto kuvizia mali za wazazi wao,kesi nyingi za mirathi ni wao;
Wakishindwa sana sana ni kuwa madalali (mtaji wao ni maneno mengi);
Wengine umri wa miaka 50, 60, 70 bado wamepanga vyumba, hawana kwao.
Watoto kuto endelea na masomo, na wengine kuolewa kwenye umri mdogo. Unakuta mwanamke wa umri wa miaka 21 tayari ana ndoa tatu na zote zimevunjika!
Ukikuta mwenye kazi nzuri, basi ni yaya kwa wahindi!
Dini yao iko kimyaa wao adui yao ni yesu tu.

Angalia matangazo ya waganga wa kienyeji, wote majina yao ni shekh majid, shekh salumu, sijui ana toa tiba ya pesa za majini, anarudisha mpenzi, mara nguvu za kiume,.

Sasa kwenda kwa mitume na manabii ni shortcut nyingine, acha na wapigwe.
Wamejazwa ujinga sana..pole yao..dini yao imewafanya wawe watumwa wa kiakili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa takwimu iyo sio kweli na haiwezekani Nina kwa [emoji817] kama unataka kuleta mtafaruku wa kidini mi nipo tayar nitaanika uthenge wote wa ukristo usipende kuleta ujinga hao jamaa wanachukua watu wanawalipa wakiulizwa majina wanaweza taja lolote hata mkoani anaweza kusema labda katokea kigoma kuja dar yote iyo kama marketing .
Mleta mada una vinasaba vya ujinga huwezi kuona watu wametulia sasa na sisi tutajibu kila swali kama akili yako ilivyo hakuna muislamu anaenda kweny uthenge wenu huo hata wakristo safi huwezi wakuta jamaa hapo juu kataja watu wanapenda wale wavivu ,maskini ,wanaoamini mambo ya kichawi.

Unaacha kukemea wajinga wenzio kujiita mitume unaleta porojo angalia sana usipende kuzua tafrani nitajibu kama ujinga uliote hapa ndo nyumba ya kejeli usije ukaslimu tu.
Hujawahi kuwa na hoja zaidi ya upuuzi..nadhani ndio mafundisho yenu makuu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha hili..mbona sijawahi kuona mtu kazaliwa anamjua huyo ala au mtume mwamedi badala yake kutwa kucha kukaririsha watoto kiarabu wamjue huyo ala.

Nadhani ujinga + dini ndio laana kwa hii dunia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sema mimi kilaza siwezi kujifunza lugha yoyote zaidi ya kuzaliwa. Wenzako kibao wanajifunza na wanaelewa.
Hiyo biblia ambayo unayosomewa ilitafsiriwa na King James kwenda kingereza. Hiyo ya asili haijulikani ipo wapi.
Zimebadilishwa nyingi na documentary zipo kibao.
Kwa hiyo jiwe jitahidi na vihoja vyako vya kitoto, utawadanganya mazezeta wenzako kama wewe ambao hata biblia hamujui hata kidogo bali mnapelekwa kama ng'ombe.
 
Hanithi mbona husomi physics kiswahili ndo maana unafeli 😅😅😅 chemistry, ulisoma lin kiswahili hayo masomo
Huku wameshindwa kutafsiri kwenda kiswahili. Utasema wajerumani waliojifunza kwa kijerumani watafeli physics? Hiyo haina mantiki.
Huku kuna maprofesa tena mawaziri na kuzungumza kingereza vizuri hawezi na wamesoma nje.
 
Kwa takwimu iyo sio kweli na haiwezekani Nina kwa [emoji817] kama unataka kuleta mtafaruku wa kidini mi nipo tayar nitaanika uthenge wote wa ukristo usipende kuleta ujinga hao jamaa wanachukua watu wanawalipa wakiulizwa majina wanaweza taja lolote hata mkoani anaweza kusema labda katokea kigoma kuja dar yote iyo kama marketing .
Mleta mada una vinasaba vya ujinga huwezi kuona watu wametulia sasa na sisi tutajibu kila swali kama akili yako ilivyo hakuna muislamu anaenda kweny uthenge wenu huo hata wakristo safi huwezi wakuta jamaa hapo juu kataja watu wanapenda wale wavivu ,maskini ,wanaoamini mambo ya kichawi.

Unaacha kukemea wajinga wenzio kujiita mitume unaleta porojo angalia sana usipende kuzua tafrani nitajibu kama ujinga uliote hapa ndo nyumba ya kejeli usije ukaslimu tu.
Waislam kibao tena sio wewe muislam jina unatukana ovyo, mashehe lukuki wanaenda kwa Mwamposa kama unabishana nenda kawaulize maimamu wenzako huko msikitini wakupe ukweli.
 
WANAO SALI KWA MWAMPOSA[emoji116]

Wavivu wa kufikili& kufanya kazi.
Wafuasi wa ushirikina na mambo ya imani za kipuuzi.
Wengi wao ni wanawake.
Hawana elimu.
Hawana pesa.
Masikini choka mbaya.
Wahuni mashindikanaa waliokosa ndoa sababu ya tabia zao na kujificha kwenye kivuli cha dini ili wapewe izo hirizi za nabii wao wapate waume/wake.

Hawa wote utawakuta ktk kila aina ya magenge ya ibada za matapeli wa miujiza
Hili nakataa kwa asilimia mia, makundi hayo yapo lakini hata matajiri wanaosali pale wapo pia, ndio maana Ile parking ya magari Kuna maV8 mpaka marenji
 
Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.

Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.

N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.
Ewe mgalatia usio na akili ni nani alikuroga?
 
Sema mimi kilaza siwezi kujifunza lugha yoyote zaidi ya kuzaliwa. Wenzako kibao wanajifunza na wanaelewa.
Hiyo biblia ambayo unayosomewa ilitafsiriwa na King James kwenda kingereza. Hiyo ya asili haijulikani ipo wapi.
Zimebadilishwa nyingi na documentary zipo kibao.
Kwa hiyo jiwe jitahidi na vihoja vyako vya kitoto, utawadanganya mazezeta wenzako kama wewe ambao hata biblia hamujui hata kidogo bali mnapelekwa kama ng'ombe.
Kutafsiriwa ndio kubadilishwa maana..nadhani hata shule hujaenda zaidi ya kuaririshwa kiarabu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom