Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Napiga vyote bila hiyana.Kwanini mkuu, unatumia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napiga vyote bila hiyana.Kwanini mkuu, unatumia nini
Jikite kwenye mada na jibu hoja nadhani itasaidia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
ni sawaHili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.
Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.
N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.
Kwanin mtu akienda kwenye uislam anaslim kama alizaliwa akiwa muislamu Kuna haha gani ya kuslimni sawa
asili ya kuzaliwa mwana wa adam ni ISLAM.
ndo maana mnawabatiza
Kwa sababu alitoka au alitolewa kwenye uislamu pale alipo batizwa ndio maana anatakiwa kusilimu anaporudi katika dini yake ya asili.Kwanin mtu akienda kwenye uislam anaslim kama alizaliwa akiwa muislamu Kuna haha gani ya kuslim
Kwanini isifundishwe kwa kiswahili ili watu waelewe zaidiSheria gani inakataza ? ikiwa katika kingereza au lugha yeyote inaitwa tafsiri ya Qu'ran na hakuna ubaya kujua tafsiri kwani lengo ni kuelewa vizuri kiarabu inabaki kama msingi na ndio Qur'an yenyewe.
Mwenyezi Mungu amefanya Qu'ran iwe rahisi kuhifadhi hata kukumbuka kwa kutumia kiarabu na ndio rahisi zaidi kuelewa na hata aya zinapotamkwa kiarabu mtu zinakuathiri moyoni hata kama haulewi kitu(ukimpata msomaji mzuri).Kwanini isifundishwe kwa kiswahili ili watu waelewe zaidi
Kwa kiarabu ibaki kama Rejea
Kwenye kuhifadhi ibaki kiarabu Ila kufundishia iwe kwa lugha mama( Kiswahili )Mwenyezi Mungu amefanya Qu'ran iwe rahisi kuhifadhi hata kukumbuka kwa kutumia kiarabu na ndio rahisi zaidi kuelewa
Upi??
Na ndivyo inavyofanya mara zote na sio hapa Tz bali karibia nchi zote ambazo hawazungumzi kiarabu Qu'ran inafundishwa (kwa kuelewa na kuzingatia) kwa kutumia lugha mama ya nchi husika hata mimi huwa mda wangu wa kusoma Qur'an nimeutenga sehemu mbiliKwenye kuhifadhi ibaki kiarabu Ila kufundishia iwe kwa lugha mama( Kiswahili )
Na sio kweli watanzania wanaelewa kiarabu , zaidi ya kiswahili
Sio kweli...Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.
Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.
N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.
Alitokaje Tena Kuna watu ni wapagani hawana dini Leo hii wakienda kwenye uislam wanaambiwa waslim achen kudanganya watuKwa sababu alitoka au alitolewa kwenye uislamu pale alipo batizwa ndio maana anatakiwa kusilimu anaporudi katika dini yake ya asili.
Thibitisha hili..mbona sijawahi kuona mtu kazaliwa anamjua huyo ala au mtume mwamedi badala yake kutwa kucha kukaririsha watoto kiarabu wamjue huyo ala.ni sawa
asili ya kuzaliwa mwana wa adam ni ISLAM.
ndo maana mnawabatiza
1930...Yusuf aliToka Lin Quran ilitafsiriwa kiingereza
Dini ya uyahudi na ukiristo ni vitu viwili tofautiAlitokaje Tena Kuna watu ni wapagani hawana dini Leo hii wakienda kwenye uislam wanaambiwa waslim achen kudanganya watu
Huo umeanza mwaka wa 600 huku dini uyahudi ambao ndo ukristo umetokea huko ukiwa upo miaka 4000 kabla ya uislam