Wanaosema Demokrasia ya kenya ipo miaka 50 mbele? ndo hii ama kuna ingine?

kwa hiyo ulitakaje askari ampige risasi ya kichwa afe kama mfanyavyo kwenu islamic republic , au ? huyo mtu unaona kabisa na mgonjwa wa akili na hao askari wamefunzwa vizuri na kuelewa, tanzagiza mwenye nguvu anapiga na kukanyanga wa chini, wanaita kanyaga twende …
 
Mmh! Kiukweli kama ndiyo hiyo bora isubiri kwanza.
 
Vichaa ni wengi sana kwenye hii dunia.Pamoja na yote bado hakuna demokrasia isiyo na mipaka.Ata uko tunakojifariji wana uhuru na demokrasia kuna mstari mtu akivuka hawaangalii tena hivyo vitu wanashughulika nawewe bila kujali una shida ya akili au vinginevyo.
 
sasa kama jamaa akipelekwa kuzimu watasema justice?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…