Pre GE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gwajima hakufanya alichoahidi, tutamuondoa kwa hicho. Yaani barabara za mtaani jimbo la kawe zibazidiwa na za kijijini mikoani. Ni aibu sana kuona miundo mbinu mibovu ya barabara namna hiyo.
 
Chawa bana. Vp Ile ahadi ya wakazi wa kawe kuwapeleka England na Japan? Ametimiza.
Cha muhimu nikua tayri anayo kazi yake nzuri tu ya kuchunga kondoo wa bwana. Nakuthibitishia 2025 hayupo tena Jimbo la kawe
 
Na huu ndio ukweli mtupu. Na Hawa ndio wapiga VOTE. Na solo la nyuki hahahaha ni takataka Tu
 
Hata kama hana Msaada na by the way Mbunge hatoi pesa ila Gwajiboy sio aina ya Wabunge wa Kuwapoteza Bungeni.
 
Huyo Gwajiboy haaminiki kabisa . Hana msimamo halafu ni bonge la kigeugeu. Nenda kawaulize wakaazi wa Mbopo alichowafanyia ndio utamjua vizuri. Aliwaambia amezungumza na raisi Samia ana kwa ana juu ya mgogoro wao ardhi na raisi amemtuma kuwajulisha kuwa yuko upande wa wananchi lakini kilichotokea baadae ni kilio tena yeye Gwajiboy akawa namba moja kuwakandamiza wapiga kura wake na kuwapa polisi maagizo wawakamate iwapo wataendelea na haki yao ya kukutana kujadili swala hilo.

Pia aliwahi kusema uaskofu wake ni zaidi ya ubunge, uwaziri na hata uraisi lakini maajabu analilia ubunge. Aliwahi kusema kuwa kamfungia mwenezi duniani na mbinguni lakini juzi tu hapo Bunju akamsujudia kwa kuinama mbele yake jukwaani pale mwenezi alipomuahidi makatapila yakuchonga barabara.

Kuupata tena ubunge wa Kawe kwa Gwajima inawezekana ila inabidi afanye kazi sana ndani ya huu muda mfupi uliobaki kurudisha imani ya baadhi ya wakazi wa hilo jimbo iliyopotea juu yake. Na hasa ukizingatia watanzania wengi huwa wanadanganyika na vitu vidogo vidogo tena vya muda mfupi halafu wanasahau shida zao za miaka mitano. Na hapo ndio CCM inapowapiga chenga wapinzani na kujipatia ushindi.
 
Gwajima hana karama ya uongozi hisipokuwa ni msanii aliyetumia kabila na umaarufu wake kumshawishi JPM na kupitishwa kwa griba, hila, wizi wa kura na mabavu kuwa Mbunge . Kwa aina ya kazi yake ya kanisa iliyomfanya awe maarufu ktk jamii hakupaswa kuwa muongo muongo kwa kuhaidi vitu hasivyoweza kutimiza.....matreni, boti za uvuvi, nk.
 
Unapoambiwa gwajiboy ni msanii elewa, au tukutumie clip yake akimfufua mtu wakati ule alipokuwa na lile kanisa lake la mabati pale ubungo?
Mbona unapambana kulaghai. Laghai wajinga gwajiboy anatosha! Hayo mengine ni yako na bibi yako.
 
Sisi wanakawe tumepata jembe. Wewe endelea kutungua macho na kuongea utumbo wako na bibi yako.

Tuache na Gwajima jembe.
 
Nashauri jaribu kubadili aina ya Bange / Bangi unayoivuta sasa kwani huenda ikawa imechanganyika na Kinyesi cha Mtu mzima hivyo imeathiri pia hata na Ubongo wako katika Kufikiri.
 
MAFUriko ya Halima Mdee Dawasa na Basi haya yameisha??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…