Pre GE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata ile boti na train mpaka leo ni utapeli tupu
 
Taja mambo aliofanya kabla ya hizi mvua sio kuwa anaonekana kwenye sehemu zilizoathirika anaenda kuona tu sana atashughulikia kulinda au kuokoa eneo lake dhidhi ya mafuriko ili aendelee kuwakamua kodoo wake kwa utulivu.
Bora arudi Halima Mdee alikua anafatia mambo mengi.
 
Nashauri jaribu kubadili aina ya Bange / Bangi unayoivuta sasa kwani huenda ikawa imechanganyika na Kinyesi cha Mtu mzima hivyo imeathiri pia hata na Ubongo wako katika Kufikiri.
Wapiga kura wake mmekuwa na jazba mno.
 
Nashauri jaribu kubadili aina ya Bange / Bangi unayoivuta sasa kwani huenda ikawa imechanganyika na Kinyesi cha Mtu mzima hivyo imeathiri pia hata na Ubongo wako katika Kufikiri.
Uwezo wako wa kufikiri uko chini ya rubbish
 
Uwezo wako wa kufikiri uko chini ya rubbish
Ila pamoja na kulijua hilo bado tu 24/7 huachi kabisa Kunifuatulia na Kunisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums.

Je, Members wenye Uwezo mkubwa wa Kufikiri hapa JamiiForums na unaowakubali hawapo ili uwe busy Kuwafuatilia hao / wao na uachane na Mimi nwenye Uwezo mdogo / wa chini wa Kufikiri?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Kasome Yeremia 1:19 ili ujue kuwa hata Ufanyeje huwezi kabisa Kushindana nami kwa Akili Kubwa na matumizi ya hizo Akili Kubwa hizo hizo.

Kudadadeki......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…