Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Mwanaume hujulikana tu kwa kauli zake na misimamo yake na sio kwa kutumia id au avatar!
 
Jina na avatar ya Id yako ya zamani vilikua kiume hii imekaa kidada usitumie huo utetezi famba kutaka kukwepa ukweli.

Neno nichumu nibebike limekaa kama neno ambalo kati ya mwanamke, mwanaume, msagaji na shoga, shoga na mwanamke wataliwaza na kulitamka hili neno, mwanaume hawezi kuliwaza hata punje, msagaji ataliwaza ila hatokuja kulitamka.
 
mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.

MASWALI FIKIRISHI:

Kwanini uliamua kuweka ID ya kike?

Kwanini unasema "hamna kidume aliyekufwata PM", Je ulikua unataka kufwatwa PM na madume?

Je wewe ni mwanaume wa dar?

Kama ni mwanaume na unataka ufwatwe PM na wanaume wenzako una maana gani??

Unataka wakikufwata PM iweje? Je unaweza wapa huduma kulingana na ID yako?

Badilika mkuu, Mungu hakukosea kukuumba wanaume!!
 
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume hata kimoja.
Mwanaume hujulikana tu kwa kauli zake na misimamo yake na sio kwa kutumia id au avatar!
Unataka kufuatwa pm?
 
Back
Top Bottom