Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Wanaosema ID yangu imekaa kidem, mbona sijawahi fatwa PM na kidume hata kimoja?

Humu Kuna ME, KE, na nafikiria pia MEke. Wewe kwa kulalamikia kutofatwa na vidume kama si KE basi utakua keME. Ila sio ME hata.
 
Halafu mbona hili lijamaa linalojiita nichumu nibebike limepotea halijibu hiz shutuma
Afu unaweza kuta liko 18+ na ndevu kibao, nywele mpaka kwny masikio afu linakua na habar za kina ashura na kina Sikujua
 
Back
Top Bottom