Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda.

Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na Polisi , mafisadi na usalama wa taifa ndiyo wenye nchi kwasasa
 
Back
Top Bottom