Mwanguku shabani
Member
- Sep 19, 2020
- 10
- 27
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha yetu sio pesa
Wee tafuta helaNi hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Utafute sasa[emoji28][emoji28][emoji28]aiseee me furaha yangu pesa
Hahahahah japo sijui hesabu ila hio foreign reserve tumepangwaBi Tozo amesema tuna akiba ya USD bilioni 6253, sawa na trilioni 14,000. Tatizo liko wapi hapo?
14,000 T- deni la taifa (70 T) = 13,930 T (Nchi inaweza kuendelea non-stop, almost indelibly, unfutikable, kwa zaidi ya miaka 500!)
Tafuta za kutosha tu, ila ujue kanuni ya kwanza mnufaika mkuu wa hizo hela uwe ni wewe mwenyewe. Sio malaya malaya wale kiboya tuNi hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Eti tafuta hela utakuja kunishukuru[emoji3][emoji3] noma aiseeWakati mwengine ukiangalia hili taifa kwa mtazamo Furani, Unaweza kusema labda ni TAIFA la wendazimu niliambiwa "tafuta hela utakuja kunishukuru" kwenye mada hata isiyohusiana kabisa na mapenzi wala hela yenyewe.
Utafute sasa
Mnatenga kutoka wapi?[emoji28][emoji28][emoji28]hatutafuti tunatenga[emoji28][emoji28]
Mnatenga kutoka wapi?
Zilipo eeh 😅msitisumbue tafadhali hii ni NjaanuareZilipo