KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
PoleMecheka mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleMecheka mnoo
Kwahiyo wenye hela hawaumizwi na mapenzi?
Tena waambie kuwa kila mtu anazo zake kulingana na kupambana na kuwajibika kwake.Wasitunyanyase.Hizi kidogo tulizo nazo zinatusaidia na hizo nyingi zitakuja tu.Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Me nitoe kwenye huooo ujingaaa.....Furaha yetu sio pesa
Tafuta helaa [emoji23][emoji23]Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Nyie ndio wale wa machupa ya soda?..pesa sio kila kitu hapa duniani niamini mimi ninachokuambia.[emoji28][emoji28][emoji28]aiseee me furaha yangu pesa
Nyie ndio wale wa machupa ya soda?..pesa sio kila kitu hapa duniani niamini mimi ninachokuambia.
expand...Wapo waliopata fedha na wana fedha na wameishia kupata maumivu kwa magold digger tu,
Mru anajiuliza huyu mwanamke kakosa nini kwangu mpaka atoke na kale " kajamaa" kadogo kenyewe hakana hata ajira kanashinda betting tu...!
Yakupasa kuelewa mapenzi yako ki hisia zaidi , na hapa ndio wanaume wengi wanapofeli jisni ya kujiconnect emotionally na kum-attract sexually mwanamke.
Wengi hukimbilia kuhonga ovyo ovyo , kujisfia hao ni watu wa hadhi fualin , au kujishow wako stable kiuchumi ili kumvutia mwanamke kimapenzi.... na hii ni very wrong!!!
Mwenye pesa mapenzi hayamuumizi kama asyekuwa nazo kabisa" ukitaka kuamini hilo we zitafute tu uwe nazo nyingi ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ziwe kiasi ambacho hata ukinyamba unaulizwa "hujaumia baby..?"
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
Furaha yetu sio pesa