Wanaosema tafuta hela kila Post

Wanaosema tafuta hela kila Post

Wakati mwengine ukiangalia hili taifa kwa mtazamo Furani, Unaweza kusema labda ni TAIFA la wendazimu niliambiwa "tafuta hela utakuja kunishukuru" kwenye mada hata isiyohusiana kabisa na mapenzi wala hela yenyewe.

Sawa hata ukitutukana Hatuna shida, we tafuta hela, thanks us later
 
[emoji4]angalau kuanzia hizi[emoji116]
IMG_20211224_194539.jpg
 
Tukifanya tu conclusion ya ulichoandika
Tutafute tu hela mkuu au[emoji23]
Hahahah !Watu wanatafuta hela mwisho wa siku wanaishia kuwa limbukeni wa mapenzi au material things
 
Sema pesa na mapenzi vitu viwili tofauti ila watu wengi wanafail kutofautisha ndo mana wengi wanaumizwa kwa kutumia pesaaa kama kinga katika mahusiano!
 
Back
Top Bottom