Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hivi hawa watu wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo aliyeziona hizo fujo walizofanya mnioneshe mimi sijaona.
Hivi hawa wana harakati walikuja kusikiliza kesi ya Lissu na hata watanzania tuliona pia walienda kusikiliza kesi hiyo hiyo wakaitwa wafanya fujo wengine wakapigwa na kutupwa maporini wengine walisababishiwa vifo kama wanaharakati walivyofanyiwa wao walitupwa maporini pia na kupigwa.
Kwahiyo Hili neno fujo ni kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya mtu ?
Ina maana Samia na vibaraka wake wanatumia neno fujo kujificha kwenye kichaka cha uhalifu na mauaji kinyume cha sheria, tunataka utawala wa sheria ili kuwepo kwa haki na kukomesha ujambazi mkubwa unaofanywa na mamlaka ya samia sio utawala wa kisheria.