Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza.

Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima mhusika awe na falsafa inayomuongoza.

Kwa sasa tuna dhana ya uchawa ambayo ni ushahdi kuwa walioianzishana kuitumia wanalenga kunyonya kama chawa. Hivyo, hii si falsafa kitu bali ukosefu wa falsafa.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom