Wanaoshangaa Beyonce kuabudiwa ni wavivu wa kusoma maandiko

Madhara ya bangi haya

Mjani haujawahi kumkosea mtu Chief Maserati ! Labda tuseme madhara ya kutumia Banghi wakati ubongo wa kuku!!

Hii ya Beyonce ni long term plan/strategy kwa ajili tu ya lengo flani, just like any other "hollywood" plans/strategies.
[HASHTAG]#YajayoYanatisha[/HASHTAG]!
 
Msiseme Biblia Yake Inaitwa byble Semeni kitabu cha dini yake kinaitwa byble

Mfano huwezi sema Biblia ya Waisilam inaitwa Quran(Siijui Inavyioandikwa Mtanisamehe kama nimekosea)
Bali uatasema Kitabu Chao ni .............
 
Mjani haujawahi kumkosea mtu Chief Maserati ! Labda tuseme madhara ya kutumia Banghi wakati ubongo wa kuku!!

Hii ya Beyonce ni long term plan/strategy kwa ajili tu ya lengo flani, just like any other "hollywood" plans/strategies.
[HASHTAG]#YajayoYanatisha[/HASHTAG]!
Yanatisha sana
 
Back
Top Bottom