Wanaoshanglia 'adhabu' hiii...........

Wanaoshanglia 'adhabu' hiii...........

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Inafahamika kuwa siku hizi wanawake wengi wanafanya maamuzi kwa utashi wao..
tofauti na zamani....siku hizi wamewezeshwa na wanaweza......
wapo wanaotongoza wenyewe wanaume...
wapo wanaotoka nje ya ndoa kwa revenge....
wengine 'for just having fun' na kadhalika.......
na wengine hata hukana kuwa wameolewa wanapokutana na vidume
huko mitaani......

sasa swali langu ni hili......kwa nini katika jamii ya kitanzania watu weengi
mno wanashabikia na kuunga mkono pale mwanaume anapofumaniwa na mke wa mtu
kupewa 'adhabu ya kulawitiwa'........??????

na kwa nini adhabu hii ni 'maarufu' mno kwa watanzania..while masuala ya sex
kwa wake na waume za watu yapo dunia nzima??????

na kwa nini jamii hii inapinga mno vitendo vya ki shoga while at the same time
inashabikia mno 'adhabu' ya aina hii.......

ni jambo la kawaida mwanaume anaetembea na mke wa mtu kuonywa kuwa 'atafanyiziwa'
akikamatwa kama vile huyo mwanaume huyo ni 'mbakaji vile'
na sio kuwa ni maamuzi ya watu wazima wawili.......inakuwaje?????????
 
Dhana ya kwamba mwanamke ni 'mali' (property) ya mwanaume bado ipo kwenye fikra zetu.
 
duh???????

Itakuwa ni contradiction kwenye jamii kama kweli hili lipo.
 
tena nikuambie kitu...ukimlawiti mgoni wako hutakaa usamehe na kusahau; haimalizi kosa wala kukupa wewe unafuu..........sana sana inakuumiza zaidi
 
Dhana ya kwamba mwanamke ni 'mali' (property) ya mwanaume bado ipo kwenye fikra zetu.

hii dhana haifutiki tu
hata kama mfano humu ndani tunawasikia jinsi walivyo independent mind..
na jinsi walivyo na utashi kwa maamuzi yao?
 
The boss kuna mtu kakutisha nini kama vipi achana na nyumba ndogo tulia ili swala la kulawitiwa uwe unalisikia tu na likupitie mbali.
 
hii dhana haifutiki tu
hata kama mfano humu ndani tunawasikia jinsi walivyo independent mind..
na jinsi walivyo na utashi kwa maamuzi yao?

Aisee Boss dhana nyingi potofu katika jamii kufutika huwa ni kazi kubwa sana.

Huhitaji mapinduzi ya kifikra ya kijumla, jambo ambalo huchukua vizazi na vizazi ili kutokea.
 
tena nikuambie kitu...ukimlawiti mgoni wako hutakaa usamehe na kusahau; haimalizi kosa wala kukupa wewe unafuu..........sana sana inakuumiza zaidi

mimi nikifumania na deal na wife tu
sidhani kama ni wise kumuadhibu mtu ambae pengine hakujua in the first place ana deal na mke wa mtu...
 
the sweetest revenge is to give the wrongdoer a dose of his own medicine
 
The boss kuna mtu kakutisha nini kama vipi achana na nyumba ndogo tulia ili swala la kulawitiwa uwe unalisikia tu na likupitie mbali.

changia mada bila kuleta speculation aisee
hapa sizungumzii maisha yangu...
tunajadili jamii....
 
the sweetest revenge is to give the wrongdoer a dose of his own medicine

yaani mtu kumpa raha mkeo ni 'medicine'???
how?
what if mkeo ndo kapenda iwe hivyo???
au hujui wanawak wana utashi wao pia??????
 
haisaidii lolote
inaongeza hasira na hisia za guility tu

na inaweza kuanzisha cycle ya revenge....
we umetuma watu wakamlawiti..
yeye anatuma watu wanakuua...
ndugu zako wana revenge e.t.c....
 
mimi nikifumania na deal na wife tu
sidhani kama ni wise kumuadhibu mtu ambae pengine hakujua in the first place ana deal na mke wa mtu...

Very wise of you Boss.

Deal na yule aliyekulia yamini kuwa atakuwa mwaminifu kwako. Ku deal na jitu ambalo pengine hata hulijui kwangu mimi hiyo ni move isiyo ya busara wala hekima.
 
Aisee Boss dhana nyingi potofu katika jamii kufutika huwa ni kazi kubwa sana.

Huhitaji mapinduzi ya kifikra ya kijumla, jambo ambalo huchukua vizazi na vizazi ili kutokea.

mbona mengine tuna adapt kwa haraka?
hivi hatujiulizi nchi zingine wana deal vipi na masuala haya????
 
Very wise of you Boss.

Deal na yule aliyekulia yamini kuwa atakuwa mwaminifu kwako. Ku deal na jitu ambalo pengine hata hulijui kwangu mimi hiyo ni move isiyo ya busara wala hekima.

hivi imagine mkeo ni full mcharuko
utatoa adhabu hiyo kwa wangapi?
na utaishi under fear ya visasi for how long?
 
Tena usipoangalia unaweza ukadundwa vilevile.

wanawake wanatucheka mno....
tunashangilia kupeana adhabu za kudhalilishana
while mwenzio labda ana vibuzi hata vitano
we unampa huyo mmoja adhabu..
wengine wanakula kiulainiii....na yeye anakucheka tu....
 
Back
Top Bottom