Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Kila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK.
Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?
Je, wewe mtaani kwako wapo? Je, una rafiki au mtu wako wa karibu au hata jirani bilionea mpya wa hizi Jacport? Kama yupo unayemfahamu nipo pale nasoma coment.