Wanaoshinda michezo ya kubahatisha wako wapi?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Kila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK.

Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?

Je, wewe mtaani kwako wapo? Je, una rafiki au mtu wako wa karibu au hata jirani bilionea mpya wa hizi Jacport? Kama yupo unayemfahamu nipo pale nasoma coment.
 
Wanakula hela za kaqaida za kumalizia rangi na madirisha katika nyumba zao. Ila watu wengi tunaliwa sana na ndo maana unaona kila kukicha bert campany zinaongezeka maana zinapata faida.

Kuna dogo aliwahi kula milion mbili ila akapewa milion moja na laki sita. Na hela yake niliitumia.
 
Kwanini iwe mil 1.6
 
Mimi nilishakula (4,200,000 )milion nne na laki mbili.. nina mshikaji wangu alikula milion 9 sportpesa kwnye multibet na nikaiona hela.

Sasa ww unafikiri mfano yule jamaa aliyekula bilion 1, ataendelea kuishi pale pale? Atakua mpumbavu kama ataendelea kuishi hapo hapo.

Betting hakuna utapeli, ukishinda umeshinda niambie mtu aliyewahi kula jackpot alafu hakupewa hela zake.

Ukweli ni kwamba kula jackpot ni ngumu sana labda bonas tu na penyewe ni vigumu.
 
Mjini watu wana siri sana kuna mzee mmoja anamuonekano smart gari nzuri maisha standard kabisa, sikuwahi kuhisi ana bet mda wote yupo na laptop siku moja laptop yake ikaharibika akaleta ofsini kwetu itengenezwe to make a story short yule mzee nliangalia dashboard yake kwenye betting companies ana mikeka ya pesa ndefu anaweka odds chache pesa mlima
 
Safi sana dogo, kumbe umeajiriwa kutengeneza laptop? Fanya kazi kwa bidii.
 
Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?
sports betting ni ya ukweli kabisa maana matokeo ya mechi yapo hadharani. Sasa kuna kitu gani kitafichika kama mtu angesema Ufaransa itashinda 2-0 na matokeo yakawa hivyo? Ambazo sina uhakika ni zile bahati nasibu za kuotea namba, lakini sports betting tunakula na kuliwa kihalali kabisa bila mchongo
 
Kila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK.

Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?

Je, wewe mtaani kwako wapo? Je, una rafiki au mtu wako wa karibu au hata jirani bilionea mpya wa hizi Jacport? Kama yupo unayemfahamu nipo pale nasoma coment.
Mimi namfahamu dogo mmoja hivi alikuwa kinyozi katika Berbershop ninayonyoa nywele mara kwa mara

Alishinda million 19 na maisha yake yamebadilika sana tangu 2019 .Alitumia pesa yake vizuri na imeweza kumtoa sana kupitia kuwekeza kwenye Kununua nafaka ambazo ni mchele , maharage nk

Kwa sasa anamiliki maduka matatu ya nafaka mjini.

Wengine wakishinda vimilioni wanaenda kuweka heshima Bar na Kununua Malaya au Kununua magari ambayo yanawashinda maintenance kwa mfano Nina dogo langu moja alinunua Hyundai Genesis G80 na sasa ameipaki tu na aliposhinda million kadhaa m bet alitembeza mbupu kwa wanawake wengi Sakina, Uhasibu Njiro nk

Hizi pesa za kamali Zina mapepo na usipojipanga utaishiwa kwa aibu

[emoji23][emoji23] hazina mapepo ni mtu mwenyewe anageuka pepo
 
Ukweli mchungu ni kwamba...
Wanaliwa pakubwa wanakula padogo

Kila niliyemuuliza anakwambia katika kubeti anayekula ni yule asiyekata tamaa yaani ziliwe pesa zako weee lakini usichoke kujipa moyo siku utashinda

Hao ni hawa wa aplikesheni, wale wa namba ya bahati sijui kusubiri droo ya nini nini nini huko wote wapo maghettoni wanangojea kupigiwa simu
 
Back
Top Bottom