Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Kwanini iwe mil 1.6Wanakula hela za kaqaida za kumalizia rangi na madirisha katika nyumba zao. Ila watu wengi tunaliwa sana na ndo maana unaona kila kukicha bert campany zinaongezeka maana zinapata faida.
Kuna dogo aliwahi kula milion mbili ila akapewa milion moja na laki sita. Na hela yake niliitumia.
Kunavitu vilitokea vikafanya hela akaipata pungufuKwanini iwe mil 1.6
Safi sana dogo, kumbe umeajiriwa kutengeneza laptop? Fanya kazi kwa bidii.Mjini watu wana siri sana kuna mzee mmoja anamuonekano smart gari nzuri maisha standard kabisa, sikuwahi kuhisi ana bet mda wote yupo na laptop siku moja laptop yake ikaharibika akaleta ofsini kwetu itengenezwe to make a story short yule mzee nliangalia dashboard yake kwenye betting companies ana mikeka ya pesa ndefu anaweka odds chache pesa mlima
sports betting ni ya ukweli kabisa maana matokeo ya mechi yapo hadharani. Sasa kuna kitu gani kitafichika kama mtu angesema Ufaransa itashinda 2-0 na matokeo yakawa hivyo? Ambazo sina uhakika ni zile bahati nasibu za kuotea namba, lakini sports betting tunakula na kuliwa kihalali kabisa bila mchongoJe, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?
Wewe fala toa tabia za kike hapa, kuna sehemu nmesema mimi ni fundi au nme ajiliwa unatafta mme?Safi sana dogo, kumbe umeajiriwa kutengeneza laptop? Fanya kazi kwa bidii.
Mimi namfahamu dogo mmoja hivi alikuwa kinyozi katika Berbershop ninayonyoa nywele mara kwa maraKila kukicha wachezesha kamali za kimtandao wanatoa mabilionea wapya, MCHONGOPESA, SPORTPESA, M-BET, BIKO, TATU MZUKA, WASAFI BET, CHOTA MIHELA na NK.
Je, hawa wamatajiri wapya huwa wana wapeleka wapi? Mbona hawapo katika vitaa vyetu? Je, ni wa michongo au mimi mtaani kwangu ndo hawajatokea?
Je, wewe mtaani kwako wapo? Je, una rafiki au mtu wako wa karibu au hata jirani bilionea mpya wa hizi Jacport? Kama yupo unayemfahamu nipo pale nasoma coment.
Serikali inachukua Kodi nyingi sanaKwanini iwe mil 1.6
[emoji23][emoji23] hazina mapepo ni mtu mwenyewe anageuka pepoMimi namfahamu dogo mmoja hivi alikuwa kinyozi katika Berbershop ninayonyoa nywele mara kwa mara
Alishinda million 19 na maisha yake yamebadilika sana tangu 2019 .Alitumia pesa yake vizuri na imeweza kumtoa sana kupitia kuwekeza kwenye Kununua nafaka ambazo ni mchele , maharage nk
Kwa sasa anamiliki maduka matatu ya nafaka mjini.
Wengine wakishinda vimilioni wanaenda kuweka heshima Bar na Kununua Malaya au Kununua magari ambayo yanawashinda maintenance kwa mfano Nina dogo langu moja alinunua Hyundai Genesis G80 na sasa ameipaki tu na aliposhinda million kadhaa m bet alitembeza mbupu kwa wanawake wengi Sakina, Uhasibu Njiro nk
Hizi pesa za kamali Zina mapepo na usipojipanga utaishiwa kwa aibu
Sio maisha, betting ni ulevi mbaya umefifisha ndoto za vijana wengi japo hua na bet ila naichukulia kama luxury sio ajira