Wanaosoma Health Service Management wanafanya kazi zipi?

Wanaosoma Health Service Management wanafanya kazi zipi?

mkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
Open university of Tanzania wanatoa masters yake.
 
Inaitwa either Health service management or Health system management.
Hii course inapatikana kwenye instutions tajwa hapo juu na wadau wengine.
Mara nyingi waajiriwa ambao ni pre-service huwa wanakuwa MAKATIBU WA AFYA .
Ajira yake kwa sasa ni kizungumkuti,ila sifahamu sababu n nini?.
Basic salary ya 2015/2016 ninakumbuka ni km 832,000/= per month.
 
Mustafa kuna tetes kuwa wanakua bibi afya na babu afya n kwel? Den ajira n moja kwa moja au vp
Sio kweli hao mabwana afya na mabibi afya kozi yao inaitwa enviromental health

Ila hao health management ndio wale makatibu afya wa hospitali wa wilaya mikoa nk inshort ni watawala hao
 
hata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
Kama ni ya Mzumbe, mtu aliyesoma comb yeyote unayoijua anasoma.

Mara nyingi wanakuwa Makatibu kwenye hospital. Na huwa wana ajiriwa moja kwa moja.
 
kama nilivosema awali course hii inaitwa Health system management na sio Health services management.

hawa namakatibu afya, yaani human resources managers ktk sekta ya afya.
unaweza kuajiriwa kuwa manager wa hospitali au taasisi yoyote ya afya.

pia wanauwanja mpana kwani wanaweza kuajiriwa na NGOs kama waelimishaji wa masuala ya afya kama waeleimishaji rika.
 
kuhusu qualifications ni ufaulu ktk History na English language.

hawaangalii biology wala chemistry kwa sababu wewe sio mtaalam wa afya au tabibu, yeye anakua mtawala
 
Back
Top Bottom