niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Open university of Tanzania wanatoa masters yake.mkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
Sio kweli hao mabwana afya na mabibi afya kozi yao inaitwa enviromental healthMustafa kuna tetes kuwa wanakua bibi afya na babu afya n kwel? Den ajira n moja kwa moja au vp
Unaweza kusoma health management pale mzumbe lakin hii za ubwana afya na ubibi afya zinawahusu watu wa sayansi maana kuna kazi za kitabibu zinafanywa na waohata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
hivi pale mzumbe kuna diploma?Unaweza kusoma health management pale mzumbe lakin hii za ubwana afya na ubibi afya zinawahusu watu wa sayansi maana kuna kazi za kitabibu zinafanywa na wao
Pls reply this kwa A level wanazingatia masomo gani km olevel unayo pass ya bio geo vs eng vs kisw wanachkua?biology form four hawaangalii? maana nilipata E
Hapana nijuavyo ni wa level ya degreehivi pale mzumbe kuna diploma?
Kama ni ya Mzumbe, mtu aliyesoma comb yeyote unayoijua anasoma.hata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
kwa maana iyo mzumbe hawatoi diploma yoyote ile?Hapana nijuavyo ni wa level ya degree
Hellow habari . samahani ninahitaji kusoma hii kozi ya health management... Naomba overview zaidi mkuuNi health administrator kwa ujumla mi mwenyewe naisoma hapa mzumbe