muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
Karibu wana jamii forum tuweze kushauria kuhusu maamzi ayafanyayo na wanafunzi wakati wanapoingia form three na kuamua kuyaacha masomo ya sayansi, hii hupelekea mwanafunzi kujutia hasa anapomaliza 4m 4 na anapochaguliwa masomo ya art A'level na hatimaye majuto kuendelea nayo hata pale anapomaliza form 6, kwani kila anapotafuta termpo huambia nafasi zipo ila kama unafundisha masomo ya sayansi, majuto hayaishii hapo tu hadi aingiapo chuo kwani mkopo napo ni mbinde.
JAMANI NINI KIFANYIKE KUEPUKA KUJUTIA MAAMZI YETU!
JAMANI NINI KIFANYIKE KUEPUKA KUJUTIA MAAMZI YETU!