Wanaosoma masomo ya Sanaa, Kwanini tujutie maamuzi yetu

muhinda-moja

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
117
Reaction score
9
Karibu wana jamii forum tuweze kushauria kuhusu maamzi ayafanyayo na wanafunzi wakati wanapoingia form three na kuamua kuyaacha masomo ya sayansi, hii hupelekea mwanafunzi kujutia hasa anapomaliza 4m 4 na anapochaguliwa masomo ya art A'level na hatimaye majuto kuendelea nayo hata pale anapomaliza form 6, kwani kila anapotafuta termpo huambia nafasi zipo ila kama unafundisha masomo ya sayansi, majuto hayaishii hapo tu hadi aingiapo chuo kwani mkopo napo ni mbinde.

JAMANI NINI KIFANYIKE KUEPUKA KUJUTIA MAAMZI YETU!
 
So untaka kuambia uma wa tanzania kua masomo ya art hayafai kusoma?? Kuacha masomo ya sayansi ukiwa form three si vzur lakini si kwa sababu ulizozitoa hapo
 
Wanafunzi wengi wanaacha masomo ya sayansi si kwa sababu hawapendi hayo masomo ila wengi wao wanatoka shule za kata ambazo hazina miundo mbinu ya kufundishia pia walimu hakuna sasa unategemea nini hapo kama sio kukimbilia masomo ya sanaa
 
Unamaanisha wanaosoma sayansi wote hakuna wanaotoka shule za kata!!
 
Yaani mm ndo najutia hata najiona cjaenda shule kabisa, najiona nimepoteza muda bure pamoja na kuwa na shahada yangu ya ualimu kwa masomo ya arts kila ninapoenda kuomba tempo sipati nipo tu nyumban na nyumban penyewe ni kwa ndugu nadharauliwa mpaka wafanyakazi wa ndani yaani mm ndo mwenye thaman ya chin kwenye familia, nilibalance comb ya CBG lakn nikachaguliwa HKL na sikuweza kuama comb kwasababu shule haikuwa na comb za sayansi nikatulia na hyo comb. Mnishaur jaman kwa umri huu miaka 26 nawez fanya mtihan wa form six CBG nikafaulu?
 
nenda kasome diploma ya medicine uktumia chet cha form four.
 
utajutia kama wewe hauna channel! Wanasheria wamesoma arts wengi wao wanamaisha mazuri, human resources managers pia wapo mfano kutokea mzumbe na muccobs , plus wanasiasa wengi...mi nadhani wewe unazile ndoto za utotoni zakua engineer, rubani na daktari kutoka kimaisha haimaanishi kusomea coz hizo tu ni kujipanga kisawasawa.

n.b kwa shule zetu za kata na wilaya science ni risk sana me shule niliyotoka arts hamna four ila science zpo kibao na 0 za kumwaga.
 
Nilisoma sayansi mpaka form four nikafaulu, lakini kutokana na matatizo fulan fulani ilibidi nijaze michepuo ya sanaa kwa sababu nilijua wazi kuwa siyansi siwezi kuafford. Nilichaguliwa HGL nikafaulu form 6.

Lakini mpaka leo huwa napenda sana sayansi na nina mpango wa kurudia kwa sababu nina matokeo mazuri form four.
 
Yaani mm ndo najutia hata najiona cjaenda shule kabisa, najiona nimepoteza muda bure pamoja na kuwa na shahada yangu ya ualimu kwa masomo ya arts kila ninapoenda kuomba tempo sipati nipo tu nyumban na nyumban penyewe ni kwa ndugu nadharauliwa mpaka wafanyakazi wa ndani yaani mm ndo mwenye thaman ya chin kwenye familia, nilibalance comb ya CBG lakn nikachaguliwa HKL na sikuweza kuama comb kwasababu shule haikuwa na comb za sayansi nikatulia na hyo comb. Mnishaur jaman kwa umri huu miaka 26 nawez fanya mtihan wa form six CBG nikafaulu?

Jipange kijana kazi zpo nyingi siyo mpaka ufundishe
 
Dah, una shahada ya ualimu huna kazi?! serikali ilipoajiri wewe hukuajiriwa?! au ulikataa kwenda ulipo pangiwa?! hao diploma tu wanakula pesa na mikopo wanakopa bank kwa dhamana ya ajira zao.

ushauri wangu peleka vyeti vyako tamisemi omba kupangiwa kituo cha kazi. Utakapo pangiwa uende uache usharobaro mbuzi.
 
Atakuwa ali DISCO huyo hana cheti na km anacho basi amesomea SAUT
 
Tambua kwmb co kila kichwa kina ufanic na masomo ya sayansi halaf hata hao wansyns wenyew wa kibongo mizinguo sana maana hata mainjinia bado tunchukua nje ya nchi
 
tatizo mnpenda vitu simple datz y inakuja kuwa cost..shtukeni madogo via pcm taker
 
Nilisoma sayansi mpaka form four nikafaulu, lakini kutokana na matatizo fulan fulani ilibidi nijaze michepuo ya sanaa kwa sababu nilijua wazi kuwa siyansi siwezi kuafford. Nilichaguliwa HGL nikafaulu form 6.

Lakini mpaka leo huwa napenda sana sayansi na nina mpango wa kurudia kwa sababu nina matokeo mazuri form four.
tatizo mnakuwaga waoga saana .watu wanvyowatisha mara ohh sahansi nguumu mara sijhi nini kama ulifaulu vizur o levo y ushindwe uku juu kama utajituma
 
Hapana mkuu, sikuwa naogopa msuli wa sayansi, ila hali ya maisha ndo ilifanya nisisome.

Mkuu kama huna family support ya kutosha sayansi huwez kufaulu,
 
utajutia kama wewe hauna channel! Wanasheria wamesoma arts wengi wao wanamaisha mazuri, human resources managers pia wapo mfano kutokea mzumbe na muccobs , plus wanasiasa wengi...mi nadhani wewe unazile ndoto za utotoni zakua engineer,rubani na daktari kutoka kimaisha haimaanishi kusomea coz hizo tu ni kujipanga kisawasawa
n.b kwa shule zetu za kata na wilaya science ni risk sana me shule niliyotoka arts hamna four ila science zpo kibao na 0 za kumwaga.

sio wanasheria wote wamesoma arts
 
Hapana mkuu, sikuwa naogopa msuli wa sayansi, ila hali ya maisha ndo ilifanya nisisome.

Mkuu kama huna family support ya kutosha sayansi huwez kufaulu,

Hata kama huna familly support kufaulu unafaulu ukijituma sana,mm nilisoma PCM ila sikuwa na support kutoka nyumbani hivyo nilikuwa nawaomba marafiki zangu wale waliokwisha soma topic wani flash,na baada ya hapo nakomaa mpaka mwisho, nikatoka na div 2 ya point 10, enzi hizo kabla ya BRN.

Sikufaulu vizuri sana ila kwa hali ngumu niliyokuwa nayo naona kama nilijitahid
 
Back
Top Bottom