muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
So untaka kuambia uma wa tanzania kua masomo ya art hayafai kusoma?? Kuacha masomo ya sayansi ukiwa form three si vzur lakini si kwa sababu ulizozitoa hapo
Wanafunzi wengi wanaacha masomo ya sayansi si kwa sababu hawapendi hayo masomo ila wengi wao wanatoka shule za kata ambazo hazina miundo mbinu ya kufundishia pia walimu hakuna sasa unategemea nini hapo kama sio kukimbilia masomo ya sanaa
Yaani mm ndo najutia hata najiona cjaenda shule kabisa, najiona nimepoteza muda bure pamoja na kuwa na shahada yangu ya ualimu kwa masomo ya arts kila ninapoenda kuomba tempo sipati nipo tu nyumban na nyumban penyewe ni kwa ndugu nadharauliwa mpaka wafanyakazi wa ndani yaani mm ndo mwenye thaman ya chin kwenye familia, nilibalance comb ya CBG lakn nikachaguliwa HKL na sikuweza kuama comb kwasababu shule haikuwa na comb za sayansi nikatulia na hyo comb. Mnishaur jaman kwa umri huu miaka 26 nawez fanya mtihan wa form six CBG nikafaulu?
nenda kasome diploma ya medicine uktumia chet cha form four.

Dah, una shahada ya ualimu huna kazi?! serikali ilipoajiri wewe hukuajiriwa?! au ulikataa kwenda ulipo pangiwa?! hao diploma tu wanakula pesa na mikopo wanakopa bank kwa dhamana ya ajira zao.
ushauri wangu peleka vyeti vyako tamisemi omba kupangiwa kituo cha kazi. Utakapo pangiwa uende uache usharobaro mbuzi.
tatizo mnakuwaga waoga saana .watu wanvyowatisha mara ohh sahansi nguumu mara sijhi nini kama ulifaulu vizur o levo y ushindwe uku juu kama utajitumaNilisoma sayansi mpaka form four nikafaulu, lakini kutokana na matatizo fulan fulani ilibidi nijaze michepuo ya sanaa kwa sababu nilijua wazi kuwa siyansi siwezi kuafford. Nilichaguliwa HGL nikafaulu form 6.
Lakini mpaka leo huwa napenda sana sayansi na nina mpango wa kurudia kwa sababu nina matokeo mazuri form four.
tatizo mnakuwaga waoga saana .watu wanvyowatisha mara ohh sahansi nguumu mara sijhi nini kama ulifaulu vizur o levo y ushindwe uku juu kama utajituma
utajutia kama wewe hauna channel! Wanasheria wamesoma arts wengi wao wanamaisha mazuri, human resources managers pia wapo mfano kutokea mzumbe na muccobs , plus wanasiasa wengi...mi nadhani wewe unazile ndoto za utotoni zakua engineer,rubani na daktari kutoka kimaisha haimaanishi kusomea coz hizo tu ni kujipanga kisawasawa
n.b kwa shule zetu za kata na wilaya science ni risk sana me shule niliyotoka arts hamna four ila science zpo kibao na 0 za kumwaga.
Atakuwa ali DISCO huyo hana cheti na km anacho basi amesomea SAUT
Hapana mkuu, sikuwa naogopa msuli wa sayansi, ila hali ya maisha ndo ilifanya nisisome.
Mkuu kama huna family support ya kutosha sayansi huwez kufaulu,