Wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia magumu sana

Wife material, huku kwetu ni wengi mno! Mjini Daslama, sidhani!

Na hizo bongofleva zao zinavyowatoa akili, mara;
  • Harakati za feminism
  • Usawa wa kijinsia
  • LGBTQ+
  • Empowerment
  • Mariooo
  • Insta, Facebook, Tinder, Snapchat etc
  • Miaka 14 aoelewe, maana yake at 21yrs hamna hamna, ana kiasi kimejaa Ex. Ukioa huyo, at your own risk

Tudumishe uzazi, watoto watalelewa tu hata na serikali!
 
Ni sawa na kambale...ni ngumu kutofautisha jike na dume maana wote wana ndevu,ndivyo walivyo wengi wa wanawake wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…