Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijapinga huo mpango bali nimeuongezea thamaniKaka tembea uone kwa mfano China kuna hospitali zenye vitengo vya dawa za asili na zinatumika sana ,kwa hiyo sio kitu kipya kama hujui kitu uliza kwanza
Acha kujishushua hapa,weeewee uunge mkono,maajabu!!Sijapinga huo mpango bali nimeuongezea thamani
Kwahiyo kutumia dawa za viwandani ndio God must be inteligent?Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
Nimewahi kutibiwa Nanjing (China) kwa dawa hizo, sio ajabu kwa kweli.Kaka tembea uone kwa mfano China kuna hospitali zenye vitengo vya dawa za asili na zinatumika sana ,kwa hiyo sio kitu kipya kama hujui kitu uliza kwanza
Umecheki ulivyojibiwa kigreat thinker kwenye comment #3 na mleta mada?Kaka tembea uone kwa mfano China kuna hospitali zenye vitengo vya dawa za asili na zinatumika sana ,kwa hiyo sio kitu kipya kama hujui kitu uliza kwanza
NDIOKwahiyo kutumia dawa za viwandani ndio God must be inteligent?
Watu wa "ni yeye" wamechanganyikiwa hawajui kuna asili na kisasa, hawajui broiler na yule kuku anayeitwa wa kienyeji wote ni kuku ila wanatofautiana tu malezi na faida.
Wengi wazazi wao wamekulia vijijini ambako hata zahanati hamna, na wazazi wao wamewazaa huko huko, leo hii wanakuja kukejeli dawa asili hapa lahaula!
Natamani niwape kisa cha tabibu wa asili (mganga wa jadi) wa Serbia aliyetibu wachezaji 'mabilionea' wa ligi maarufu duniani kwa muda mfupi, kuliko hata hizo hospitali mnazoziita za kisasa
Muhimbili kulikuwa na kitengo cha dawa asili sijui kama bado kipo! Nakumbuka kuna mwaka walidai wangeweza kumtibu mtoto aliyevimba jicho, baada ya jicho kuendelea kuvimba waganga wakaingia kwenye manyanga na tunguri! Ikabidi wasimamishwe kumtibu.Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
Mbona Marekani wanasema mchawi wa huu ugonjwa Ni ChinaAcha kujishushua hapa,weeewee uunge mkono,maajabu!!
Very simple, ni uwezo wa kiuchumi. Wenzetu wakifika umri mkubwa wa uzee wanapelekwa kwenye vituo maalum vya kulea wazee. Huko wanapewa kila kitu mpaka wanapokufa, na ajira za kuwahudumia ndizo ambazo wabongo wengi na waafrika wengine wanazipata.Wastani wa umri wa kuishi wa Mtanzania ni Miaka 65, Japan ni miaka 85,Uingereza 81,Israel 82. Kwa nini unafikiri kuna utofauti huo?
Kwa muelekeo huu inawezekana tiba za kisasa zikapigwa marufuku na vyuo vya tiba vikafundisha usangoma.Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
Mkuu shusha vituWatu wa "ni yeye" wamechanganyikiwa hawajui kuna asili na kisasa, hawajui broiler na yule kuku anayeitwa wa kienyeji wote ni kuku ila wanatofautiana tu malezi na faida.
Wengi wazazi wao wamekulia vijijini ambako hata zahanati hamna, na wazazi wao wamewazaa huko huko, leo hii wanakuja kukejeli dawa asili hapa lahaula!
Natamani niwape kisa cha tabibu wa asili (mganga wa jadi) wa Serbia aliyetibu wachezaji 'mabilionea' wa ligi maarufu duniani kwa muda mfupi, kuliko hata hizo hospitali mnazoziita za kisasa
Sent from my Android using JamiiForums mobile app