Wanaotaka hostel St. Joseph Dar es Salaam

Wanaotaka hostel St. Joseph Dar es Salaam

MSAFIRI M

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
7
Reaction score
0
kama wewe ni mwaka wa kwanza na unataka kupata nafasi ya hostel high quality check me 0713519111 nafasi ni chache.. NB; CHUO HAKINA HOSTEL KWA WANAFUNZI YAAN UNAJITEGEMEA.
 
nafasi zimebaki chache... vyumba ni self vyoo na mabafu ndani
 
Chuo hakina hostels yet, inavyosemekana. So kama unaenda huko ingia mtaani tafuta hostel.

hostel za chuo zipo kibamba lakin ni kwa mademu tuu,then jiran na chuo kuna hostel za kupangisha sh.20000 mpaka 30000,pia kuna vyumba vya kawaida na self contained hv vinarange kuanzia sh.30000 hadi 120000 kwa chumba kimoja na vinapatikana mbezi mwisho,kwa yusufu,mbezi inn,magari saba,makondeko,kibamba chama na kibamba kwa mangi,challenge iliyopo ni kuwa 1st yr diploma ni wengi na wameanza masomo wk iliyopita kwaiyo kuna uwezekano wakawa wamecover vyumba vyote vya jiran ya chuo na vile vyote vya bei nafuu
 
Back
Top Bottom