Elections 2010 Wanaotaka Kikwete arudi madarakani si wenzetu

Masauni

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2010
Posts
386
Reaction score
58
Nimesikitika na ninaendelea kusikitika sana hasa ninapowaona watanzania wenzangu wakitaka kuiangamiza nchi yao wenyewe, kwa sababu tu ya ubinafsi,uchoyo na urafi.

  • Haiingii akilini mwangu kuona mtanzania unakataa elimu ya bure!!

  • Haiingii akilini kuona mtanzania huna uchungu na fedha (BILLIONS) zilizoibwa na watuhumiwa wa ufisadi

  • Haingii akilini kuona watu wanamshangilia kikwete hata baada ya kusema uongo(anapowasifu mafisadi, anapokataa elimu ya bure)
  • Haingii akilini Kikwete anasema nisingeenda ulaya watanzania mngelala njaa!! watanzania wanashangilia(kama utakumbuka kuna watafiti walifanya utafiti wao katika bonde la mto rufiji wakapeleka utafiti wao serikalini, wakasema bonde hilo likitumiwa vizuri katika kilimo cha umwagiliaji tanzania haitakuja kuwa na shida ya chakula, itaweza kuzalisha chakula ndani na kingine kuuza nje ya nchi. Nakumbuka kabisa serikali ya CCM ikakataa, kwa sababu kulikuwa kuna vigogo wa CCM wanapata faida kubwa kwa kuagiza chakula nje na baadhi yao leo hii tunawashangilia)
Naomba niulize maswali haya ARE WE REAL LOVE OUR COUNTRY?
ARE WE REAL TANZANIANS
?
 
Hii ndio demokrasi. Kura za wengi zinachagua mshindi ! Maoni yako si lazima yawe ya wengine . kitu muhimu ni uchaguzi kufanywa kwa halali na watu kuheshimu matokeo.
 
TRUE siyo wote ni wajinga kama wewe. Teh teh teh. :tonguez:
 
TRUE siyo wote ni wajinga kama wewe. Teh teh teh. :tonguez:
Nafikiri nyie ndio mnaaagiza cahkula nje! Mleta sredi ni mjinga coz hajafaidi hayo matunda ya kifisadi.
kwako atakua mjinga. kwa masikini kama sisi tunamuona mwenye busara. Kumbuka kuna siku ya hukumu.
Endeleeni kuhujumu uchumi wetu tu.
 
duhu, mimi mmoja sio mwenzenu. mimi nataka amani na utulivu udumu

Unaposema unataka amani na utulivu ukifananisha Tanzania na somalia au iraq?au hujui maana ya amani na utulivu kwako wewe kutokuwepo kwa vita hiyo ni amani na utulivu.Hebu jaribu kukatiza leo kiza kikianza kuingia mitaa ya uswahilini ili kuthibitisha kauli yako kuwa una Tanzania una amani na utulivu
 
Thread hii ni ya kijinga sana, unaposema si wenzentu unamaanisha nini? nyinyi ni akina nani? na kwanini unataka watu wote wawe nyie.
pili unapowashangaa watanzania kukataa elimu bure nakushangaa mwenyewe. Hivi ni nani alyefuta ada za mitihani mashuleni? hivi ada ya 20,000/= sio elimu bure? kujenga shule kila kata na kurahisisha watoto kutogharimia safari za mbali na kuepuka usumbufu sio elimu ya bure? tumieni akili mnabojenga hoja zenu.

kuhusu pesa zilizoibwa, huoni hata aibu? hivi ni Rais gani aliyethubutu kuwapeleka viongozi waandamizi kwenye vyombo vya sheria tangu tupate uhuru kama si JK. ningetegemea mmumiminie sifa za kuchukua maamuzi mazito lakini ndio mnalaumi. msiwe na porojo zisizo na maana na ushabiki wa kibubusa.

Binadamu kiumbe wa ajabu sana, Nyerere mlisema ametudumbukiza kwenye umasikini wa kutupwa (kutokana na ujamaa wake) lakini baada ya kuondoka tukamwita baba wa Taifa. Mwinyi mlimtukana hadi mkamaliza msamiati wa matusi lakini alipoondoka mkasema mzee wa busara (mzee wa ruksa). Mkapa mkamwita baba wa kuvunja mikataba, leo wengine wanasema ni baora ya mkapa. Leo hii JK ambaye mlimwita chaguo la mungu, ameonekana hafai, tusubiri akimaliza muda wake tuanze kumlilia. hii ndio hulka ya binadamu.
 
wavivu wakufikili mpo wengi sana si wewe peke yako congratulation mkuu!
 
Shut up your big mouth you damn fool
 
Naomba nikiite wewe ni lipumbavu usiye kuwa na mfano. wewe unasema ada ya 20000 ni bure na kitu bure ni nini?
 

kwa hiyo watakao mchaguwa mwizi wa mke wa mtu ndio wenzetu!!!!
ktk hukumu ya kiislamu mwizi wa fedha (benki kuu, epa, meremeta, rada, nk.) hukatwa mkono lakini mwizi wa mke wa mtu hupigwa mawe mpaka afe!!!!
 
kwa hiyo watakao mchaguwa mwizi wa mke wa mtu ndio wenzetu!!!!
ktk hukumu ya kiislamu mwizi wa fedha (benki kuu, epa, meremeta, rada, nk.) hukatwa mkono lakini mwizi wa mke wa mtu hupigwa mawe mpaka afe!!!!
Siasa za majitaka. Nyinyi ndo tunaowasema si wenzetu, unaacha kuangalia mambo ya msingi naleta upumbavu hapa
 
tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa utulivu. suala la kurudi au kutorudi kikwete madarakani tuwaachie wana nchi walio wengi wataamua hivo.

P.S SLAA KESHAIKOSA KURA YANGU!
 
TRUE siyo wote ni wajinga kama wewe. Teh teh teh. :tonguez:


Kwa maneno hayo ya Masauni WEWE KUDADEKI NDIYE MJINGA WA KUPINDUKIA. Kuna ujinga gani katika Maneno hayo ya Masauni?
 
wengi wao wakishapewa matshirt basi wanaridhika na wanataabika miaka mitano huku wakijua kuwa kutaabika ni haki yao
 

Utakuwa fisadi wewe, mwananchi wa kawaida hawezi kushabikia upumbavu wa mpumbavu mmoja anayechukulia nafasi ya upumbavu wa wapumbavu kama wewe kupumbazwa na vitu vya kipumbavu na kubaki wamepumbaa hawajui hata wanachostahili katika nchi yao:sick:!
 
tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa utulivu. suala la kurudi au kutorudi kikwete madarakani tuwaachie wana nchi walio wengi wataamua hivo.

P.S SLAA KESHAIKOSA KURA YANGU!
Wachache wajinga kama wewe mtamchagua kikwete.
 
wachache wajinga kama wewe mtamchagua kikwete.

kwa hiyo ulipomchagua kikwete mwaka 2005 ulikuwa mjinga sio? Sasa nani kakutoa huo ujinga wako?
Watu wengine kwa nyepenyepesi tu!!!!
 
siasa za majitaka. Nyinyi ndo tunaowasema si wenzetu, unaacha kuangalia mambo ya msingi naleta upumbavu hapa


hivi yale mabomu yenu 20 yameisha? Sasa iliyobaki ni matusi? Unataka tuanze kueka hoja pembeni tuanze matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…