Katibu Afya
Member
- Sep 22, 2014
- 56
- 20
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu, Nikushukuru kwa kuweza kuliona hili.Naongezea kwa waandamanaji wa kesho, Tutumieni kauli zetu kama silaha pekee ili mradi tu wametupa nafasi ya kuzungumza, Hata kama hatutotekelezewa maombi yetu tuhakikishe tumemwaga sumu ya kutosha ili uchafu huu usije kuendelea kutokea kwa wadogo zetu ambao wengi wao ni misalaba yetu cc, kama ambavyo cc tumekuwa ni misalaba ya wanaotulea na kutuhangaikia leo hii japo wengine hata hatuna udugu nao...Mkuu kwanza pole kwana kwa kukosa mkopo pili hongera kwa mlichokifanya jana hata kama hukupata ila kuna mamia ya vijana wamepata mkopo jana hiyo hiyo wengine hata hawakuwepo kabisa
Let us fight together as one kwa maslahi ya Taifa letu kwani kila nikitazama naona dhahiri kwamba jahazi linazama.