Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

Wanaotaka kuandamana kesho HESLB soma hapa

Mkuu kwanza pole kwana kwa kukosa mkopo pili hongera kwa mlichokifanya jana hata kama hukupata ila kuna mamia ya vijana wamepata mkopo jana hiyo hiyo wengine hata hawakuwepo kabisa
Ni kweli mkuu, Nikushukuru kwa kuweza kuliona hili.Naongezea kwa waandamanaji wa kesho, Tutumieni kauli zetu kama silaha pekee ili mradi tu wametupa nafasi ya kuzungumza, Hata kama hatutotekelezewa maombi yetu tuhakikishe tumemwaga sumu ya kutosha ili uchafu huu usije kuendelea kutokea kwa wadogo zetu ambao wengi wao ni misalaba yetu cc, kama ambavyo cc tumekuwa ni misalaba ya wanaotulea na kutuhangaikia leo hii japo wengine hata hatuna udugu nao...
Let us fight together as one kwa maslahi ya Taifa letu kwani kila nikitazama naona dhahiri kwamba jahazi linazama.
 
jamani.ambao tumekosa mkopo tutokee kwa wingi kudai haki.yetu angalau tupate boom maana maisha ya chuo ni.magumu sana

jamaani office za heslb ziko wapi ?? nami nataka niiungame na wenzangu wa not secured.??
 
"Budget exhausted" msaada wa maana ya hili neno, je mkopo ndyo sipat kabisa au mana maisha ya mtaan magum kwa wenye uelewa
 
Naipenda Tanzania lakini hili swala la kutunyima mikopo limenipunguzia mapenzi kwa nchi yangu.Hivi mwanafunzi ambaye anasomeshwa n Mama yake ambaye ni muuza miogo asome vipi???
 
Tatizo mnaangalia mlipoangukia,mmesahau sehemu mlipotoka,si mlikuwa mnashangiliwa mmefaulu wengi,
siri iliyojificha ni kwamba serikali ilitaka sifa ya big result now,mpango wa kutoa matokeo mazuri,hii ina maana mwaka huu vijana mmefaulu wengi mno,mfano mdogo tu mwaka jana waliopata div 1 walikuwa 365 mwaka huu 1365, na ukiangalia mwaka jana walioomba mkopo approximately around elf 30 kati ya hao waliopata ni elfu 28 but mwaka huu mlioomba approximately 50 na waliopata ni approximately sawa na mwaka jana
 
"budget exhausted" kwaio kama budget ni limited alieandikiwa hiv ndyo hatopata tena hata batch za majina yatayofatia au ni vip ?, msaada kwa wenye uelewa tafadhal..
 
haya ndio matunda ya serikali ya kifisadi ya ccm. hv ni lini haya matutusa ya ccm yataacha kuwaonea wanyonge? jamani, mwaka 2015 tusifanye makosa ya kuwabakisha hawa mafisi ya ccm madarakani. imagine mabilioni ya fedha yaliyoteketea kule dodoma...zile fedha zingetosha kuwasomesha wanafunzi wote na chenji ikabaki (sio chenji ya rada au ya kununua ndege ya rais). inauma sana tena sana kuwaona vijana wetu wakikosa mikopo.
 
Hayo yalinitokea mwaka 2011, nimepata Div 1 point 3 nikaenda coz ya Biashara na sina mkopo..!!
Nilizan Bodi wangenionea Huruma kwasababu nilijitahidi sana katika masomo yangu, kama sio Scholarship ya EABL-SBL sijui kama ningesoma chuo kikuu..!!
Pambaneni vijana, palipo na nia pana njia..!!
 
dah hadi chozi limenitoka poleni sana mkuu MUNGU awasimamie..yani dogo langu alikuwa muhanga wa not selected due to compttn then akaaply bsc in chem unvst f bgmy ili aje afanye transfer,mambo sio mambo dogo kafanya transfer aende bugando coz sifa anazo tatzo lnakuja mkopo wake ushapelekwa bagamoyo hv kunakupona kwel hapa au ndo ajpange tena kwa ajl ya mwakani???..lengo lake awe mfamasia sas hz tcu&heslb ndo vkwaz0
mKuu mbona unamsingizia mdogo wako huku niwewe
 
Mkuu me mama yangu mwl primary,dada yng yko tumain unvst dar me pia ada ya pale mil2lak3,bado naishi geto.unaweza ukajitundika usipokua na busara,tusikate tamaa inawezekana kusoma bila loan.ila utasoma kwa shida,mwanzo mgumu sana
 
Back
Top Bottom