D
Naunga mkono hoja!.Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo.
Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
Hii ni ai waalah. Trump hawezi kuyarudi mayenu kwa ustadi mkubwa nmna hiyo.Ebu ngoja tuone...🫠
Gentleman,Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo.
Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
Huyu hakubariki ndani ya chama na kwa watanzania kwa jumla hakuweza kukemea mauuwaji ya 29,Oct. tena huyu ni sehemu ya hi serikali haramu, kama anataka Uraisi ajitoa kwanza ndo watanzania waanze kumfikiria kwamba ana nia nzuri nao.Gentleman,
agenda ya Taifa kwa letu kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi.
suala hapo sio kukubalika gentleman,Huyu hakubariki ndani ya chama na kwa watanzania kwa jumla hakuweza kukemea mauuwaji ya 29,Oct. tena huyu ni sehemu ya hi serikali haramu, kama anataka Uraisi ajitoa kwanza ndo watanzania waanze kumfikiria kwamba ana nia nzuri nao.
Kwahiyo unamaanisha hata asipo kubalika ataibia kura kama kawaida? kwa hali ya kulazimisha mtauua wa Tanzania wengi kuliko walio uuliwa tarehe 29/octsuala hapo sio kukubalika gentleman,
jambo muhimu hapo ni mustakabali mwema na wa uhakika wa amani, umoja na ustawi wa Taifa letu. Full stop.
hakuna haja ya kubabaika na kujisumbua tofauti na agenda hiyo ya taifa gentleman.
kawaambie nyumbani na kwenye chama chako bila kificho kuhusu hilo..
gentleman,Kwahiyo unamaanisha hata asipo kubalika ataibia kura kama kawaida? kwa hali ya kulazimisha mtauua wa Tanzania wengi kuliko walio uuliwa tarehe 29/oct